hee kumbe lema ni jambazi sasa mbona hachukuliwi hatua za kisheria? kweli nimeamini maneno ya kamanda Mnyika kwamba nchi yetu inaongozwa na viongozi wadhaifu.
jana walikjula za uso pale Sinza hawajakoma tu CHADEMA? Ile ndo Sinza kwa wajanja bhana! watu hawataki longolongo pale. walifunda mapema sana saa 9 tu kwishney!!