JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
Ubishi ni kipaji kama vilivyo vipaji vingine vyote ambavyo mwanadamu kajaaliwa na Mungu, narudia tena hiki cdm wanachofanya si sahihi, lazima tuwashauri kuwa raslimali chache walizonazo wahakikishe wanazitumia vizuri, na nguvu zao waelekeze vijijini maana huko ndio kuna wajinga wengi wa elimu ya urai na ccm wanautumia ujinga wa hao wa vijijini kama mtaji wao wa kisiasa. sasa kama huu ushauri unuona hauna mashiko au unakuhalalishia kuwa mimi ni ccm.sina cha kufanya kwani hayo yatakuwa matatizo yako.
umechoka hamia ccmMnatumia kodi zetu vibaya, badala mfungue matawi vijijini mnakimbilia nchi za nje, hivi kuna manufaa gani huko? Naipenda chadema ila kwa mwendo napata wasiwasi nanyi. Hizo garama anazotumia ni za kwake binafsi au za chama? Si ruzuku hio? Kodi zetu? Upuuzi mtupu makamanda wangu mnaoufanya. Huku serengeti hatuna matawi ya chama, sasa hapo mnajitanua nje huku ndani pamejaa? Watz hebu tuache hizi siasa uchwara!
uzuri wake umesema wakati mwingine unashindwa kuwaelewa CHADEMA kama kipindi hi ambapo wanasambaza itikadi nje na ndani yaani UK sasa Ujerumani huku wanaanzisha rasmi operation Sangara leo Huko kirombero itakayo zagaa nchi nzimawakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.
HIVI TUNAENDA WAPI NA HAYA MATAWI YA CDM? KWANINI TUSIFUNGUE HATA OFISI ZA CHAMA VIJIJINI? SASA UJERUMANI HAO WAJERUMANI WATAPIGA KURA? Tufungue matawi hata ya nyumba moja hapa kwetu TANZANIA.USHAURI TU.
Kumbe hili unalitambua...Yaani wewe kwenye CDM viongozi woooote hawafai ila isipokuwa Zitto....kweli CDM inawasababishia watu msongo wa mawazo
Magamba bwana,umeambiwa Ujerumani ni sawa na Tegeta -Posta?watu wameendelea wakati liserikali lenu dhaifu la magamba hakiwezi hata kupeleka wanamichezo olimpiki...ukichukua flight from Germany to dar unawahi kufika kuliko ukiwa na daladala kutoka tegeta to posta!!!Shame on you na magamba yenu!!Acha kutuzuga, mbona yupo nchini leo alikuwa anamlaki Costa Mahalu pale mahakama ya Kisutu? Jamaa yupo bongo tu