Mnatumia kodi zetu vibaya, badala mfungue matawi vijijini mnakimbilia nchi za nje, hivi kuna manufaa gani huko? Naipenda chadema ila kwa mwendo napata wasiwasi nanyi. Hizo garama anazotumia ni za kwake binafsi au za chama? Si ruzuku hio? Kodi zetu? Upuuzi mtupu makamanda wangu mnaoufanya. Huku serengeti hatuna matawi ya chama, sasa hapo mnajitanua nje huku ndani pamejaa? Watz hebu tuache hizi siasa uchwara!
Ndugu yangu kasungura (ruzuku) kenyewe kadogo! ukipopularise CDM nje mapato yanaongezeka na uwezo wa kusambaa ndani unaongezeka. That is common sense. It is part of resource mobilization.I decide to differ. Binafsi siungi mkono ufunguaji wa matawi nje ya nchi ikiwa sehem nyingi vijijini hazijafikiwa. CDM hadi leo kuna wilaya haijazifikia kama vile lringa vijijini,kilolo,mfindi nk.achilia mbali Kata na vijiji.
Kuna kata nyingi sana Tz hazina hata tawi la chama na hata viongozi wa chama. Ni aibu kwa chama kwani kura nyingi wanazopata CCM zinatoka huko vijijini ambako elimu ya ukombozi haijawafikia.
Tz haina utaratibu wa kupiga kura kwa watu walioko nje ya nchi kwamba CDM inatafuta kura huko nje ya nchi. Sasa badala ya kutafuta kura kwa wananchi badala yake tunapoteza hela nyingi kuzurura ulaya wakati hata mwitikio wa watu kule ni mdogo.
Wakati umefika tuelezane ukweli,sio kila anaekosoa CDM haitakii mema,binafsi inaniuma kuziona harakati kama hizi zenye tija ndogo kipindi hiki mhimu kutafuta kila kura ktk kona zote za nchi.
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.
Baada ya kufanya uzinduz wa tawi la CHADEMA mjini london kwa mafanikio makubwa kamanda GODBLESS LEMA ameondoka nchini uingereza na kueleke katika mji wa Frankfut nchini kufungua matawi ya CHADEMA katika muendelezo wa M4C.
Haikuhusu, hayawahusu wape ushauri huo CCM maana M4C inafumua vijijini kama mchwa
Acha ujinga wewe! Chama hakishindi uchaguzi kwa wanachama wake tu! Unapewa ushauri wa bure halafu unaleta nyodo. Kwa aina yako ya ushabiki au ufuasi, Vhadema hawahitaji adui mwingine.
kashachukua pesa za cameroon uk tayari
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.
Juha ni wewe taja jina la hyo wilaya ambayo hawaijui CHADEMA achafkramagamba M4C INASANYASANYA WACHA UDUNYA UTAIPENDA MUDA SI MREFUHuu ni ujuha wa hali ya juu. Hapa Tanzania hata wilaya nyingine haziijui chadema wewe unachoma fedha za walipa kodi kwenda kwenye shopping yako binafsi wakati tunaambiwa uliangukia pua uingereza. Huko unakokwenda ndo kabisaaa unajiharibia na kupoteza muda!
Huu ni ujuha wa hali ya juu. Hapa Tanzania hata wilaya nyingine haziijui chadema wewe unachoma fedha za walipa kodi kwenda kwenye shopping yako binafsi wakati tunaambiwa uliangukia pua uingereza. Huko unakokwenda ndo kabisaaa unajiharibia na kupoteza muda!
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.
Kama lengo la ziara hizi ni kufungua matawi ya chama huko, sioni kama ni priority. Tunazo sehemu nyingi sana humu nchini zenye maelfu ya wapigakura zinazohitaji hili vuguvugu. Nguvu hizi na rasilmali kiduchu zilizopo zingeelekezwa huko kwani ndiko kunakohitajika elimu zaidi kuliko kwa hawa walio majuu ambao sidhani kuwa wanahitaji kwenda kuelimshwa na Lema juu ya nnini wanachohitaji kulikomboa taifa lao.Baada ya kufanya uzinduz wa tawi la CHADEMA mjini london kwa mafanikio makubwa kamanda GODBLESS LEMA ameondoka nchini uingereza na kueleke katika mji wa Frankfut nchini kufungua matawi ya CHADEMA katika muendelezo wa M4C.
Mkuu nafikiri wanachokifanya CDM wako sahihi. Vijijini wameshaanza kwani operation wanazofanya unafikiri zina malengo gani? Kilichobaki sasa pamoja na kuendelea kjieneza vijijini ni kukubalika kimataifa. Niliwahi kuanzisha mada ya CDM waanze kujiimarisha kimataifa na wasisahau kwenda Israel lakini ilifutwa. Huu ndio wakati muafaka wa wao kufanya hivyo katika kuelekea kushika dola.wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.