Ponda raha mkuu manake hayo matawi yenyewe hayana manufaa zaidi ya kuongeza mzigo wa matumizi kwa chama.Eti go Lema upuuzi mtupu
tz ina vitanda vingapi huko vijijini? itachukua muda gani kuvifikia vyote? ili upate na muda wa ziada wa kufikia hivyo vya watz wa majua, khalafu nyie mnakuwa wa kwanza kumshambulia kikwete kuwa anatumia raslimali vibaya kwa kusafiri nje ya nchi. hapa tofauti iko wapi sasa. mkishauriwa hamtafakari ubishi ndio silaha yenu.
Naona mtahangaika tu, naona mmempa Lema fungu la kutalii ili kupunguza machungu ya kufukuzwa ubunge. Sidhani kama mnategemea chochote kutokana na hiyo ziara yake.ukiona adui yako anatapatapa ujue umemshika pabaya, London mmemeongea yote mara waliohudhuria ni wauza unga mara ni watu kumi tena ni waccm waliokuwa wanamsanifu lema..sasa tunaenda ujerumani tafuteni ya kuongea tena lakini mnacho sahau ni kwamba chama hakikurupuki kwenda huko kufungua matawi..je umeiona nyomi ya Ifakara moro jana?
Mbona hauja sema walikuwa mia na hamsa? tumia busara, wenzako wanajenga chama chao ww unawakejeli, hauwezi kushindana na mafuriko, angalia yatakusombaMkuu watu waliohudhuria ni Kumi tu tena nane niwakutoka huku kwetu kaskazin hahaha hayo ndio mafanikio?
Mkuu watu waliohudhuria ni Kumi tu tena nane niwakutoka huku kwetu kaskazin hahaha hayo ndio mafanikio?
tz ina vitanda vingapi huko vijijini? itachukua muda gani kuvifikia vyote? ili upate na muda wa ziada wa kufikia hivyo vya watz wa majua, khalafu nyie mnakuwa wa kwanza kumshambulia kikwete kuwa anatumia raslimali vibaya kwa kusafiri nje ya nchi. hapa tofauti iko wapi sasa.mkishauriwa hamtafakari ubishi ndio silaha yenu.
Mnatumia kodi zetu vibaya, badala mfungue matawi vijijini mnakimbilia nchi za nje, hivi kuna manufaa gani huko? Naipenda chadema ila kwa mwendo napata wasiwasi nanyi. Hizo garama anazotumia ni za kwake binafsi au za chama? Si ruzuku hio? Kodi zetu? Upuuzi mtupu makamanda wangu mnaoufanya. Huku serengeti hatuna matawi ya chama, sasa hapo mnajitanua nje huku ndani pamejaa? Watz hebu tuache hizi siasa uchwara!
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.
Acha fikramagamba ulikuepo au unakariri zakuambia changanya na zako chezea M4C WEWEMkuu watu waliohudhuria ni Kumi tu tena nane niwakutoka huku kwetu kaskazin hahaha hayo ndio mafanikio?
Mh. inamaana hujui kuwa CDM wako Kilombero na maeneo mengi ya wilaya na vijijini ama nako huko ni UK/Ujerumani? M4C inatwanga kotekote.wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.
Nyie za EPA mywe zote. Chenji ya RADAR mywe yote! hatusemi. Mtajifia na vijiba vya roho!!Mnatumia kodi zetu vibaya, badala mfungue matawi vijijini mnakimbilia nchi za nje, hivi kuna manufaa gani huko? Naipenda chadema ila kwa mwendo napata wasiwasi nanyi. Hizo garama anazotumia ni za kwake binafsi au za chama? Si ruzuku hio? Kodi zetu? Upuuzi mtupu makamanda wangu mnaoufanya. Huku serengeti hatuna matawi ya chama, sasa hapo mnajitanua nje huku ndani pamejaa? Watz hebu tuache hizi siasa uchwara!