Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
Anasema ccm bila polis, usalama wa taifa, na pesa za rushwa, hamna lolote.
CHADEMA ni bandits, hawawezi kufuata sheria.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mnatengeneza picha tena kama za rwakatale hamogopi jela mtaisha vijana
Aweke vituo kavijulia wapi wakati kasoma shule ya kata chini ya naibu waziri wa tanzania ni muungano wa tanganyika na zimbabwe?
slaa anasisitiza chadema nao wana watuu wa usalama wao.
kumbe hamjuani hadi mtambulishane
mbowe mbona aliweka vituo na akalamba ziro
Samahani MODS,kwakuwa sheria hukata pande zote bila upendeleo,neno'' MASABURI''Lilishatumika kama tusi na nimeshawahi kulitumia hapa kwenye QUOTE yangu moja nikapigwa BAN,hivyo basi HUYU m 23 anapaswa kupewa haki yake ili akili yake ijue kujibu hoja badala ya matusi,pia itakuwa fundisho kwake kuwa mstari wa mbele kutumia lugha ya staha,naamini mtalishughulikia ili ajifunze ustaarabu.:A S shade::A S shade::A S shade:acha upuuzi huu nao ni uzi leo kila mtu ataje diwani wake anafanya nn jf si itajaa masabur kazin
Hata mimi ninaweza kusema wewe bila ya mumeo/mkeo hakuna lolote.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums