M4C kibaha

Tunaomba updates, mie niko Mugumu kwa sasa!
 
m.kiti wa wilaya ya kbh mjini ndo anazungumza anawakaribisha. Mh mbowe, slaa, mnyika, mdee, marando. Kuhusu maudhulio yapo vzr.
 
hatimaye mbowe kapandisha bendera, na njiwa wawili wamerushwa kuashiria kazi kuanza.
 
Go.. Makamanda..nendeni Mungu yupo pamoja nanyi,kamwe msigeuke nyuma mkaguka jiwe la chumvi.

BATTER AN UGLY FACE THAN UGLY MIND!!
 
We gamba nin,kama huna hoja funga mdomo
 
sasa ni utambulisho, wanapanda wabunge, sasa ni naomi kaihula, viti maalum ilala.
 
naimo kaihula yupo jukwani anawaomba wanawake wafute tuhumu kuwa ndio wanaochelewesha ukombozi
 
mh, kaihula anawaasa kina mama kushikamana na kufika nyumba kwa nyumba. Na tunajivunia nguvu ya umma. Sasa amapanda mh susan lymo. 2msikilze.
 
Suzan lymo anawaomba kila mwananch awajibike
 
Wamekatisha ubungo hapa, bila ya kufata sheria za barabarani, mmoja wao aliteremka na kuzuia magari. Trafik aliekuwa zamu ikabd awe mpole

kweli mkuu, hili tukio nimelishuhudia.ila ni kama walimwacha vile au walimsubiri mbele?
 
kanda ya pwani m.kiti prof safari, makamu marando katibu mdee. Anapanda mnyika jukwaani sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…