Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
- Thread starter
- #21
Hapo ndo kuna utata kati ya hizi habari mbili, au huyu aliyeanzisha huu uzi ndo wale mamlupu wa nepi!
una adithia kama ulikuepo vile by the way i dont see any changes done by policcm there
Mkuu bily na Mkuu Shine, mara nyingi hulka yako, au niseme roho ndo inamtuma mtu kuona kilichopo mahali. Unaweza kuiangalia chupa iliyojazwa maji hadi katikati ukaiona ipo "half empty" (yaani ukaioneka ipo nusu-tupu), lakini pia anaweza akatokea mtu mwingine akaiangalia chupa ileile akaona baraka pale: akaona ile chupa ipo "half full" (yaani anaweza kuiona imejaazwa maji hati katikati). Ni mitizamo tu. Nyie wawili muwe huru kuliangalia tatizo la kuandika namba za magari na pikipiki zilizokuwa zikiingia pale, na sisi wengine mtupe uhuru wa kuliangalia hili la polisi kuwaheshimu viongozi wakuu wa hiki chama tawala tarajiwa katika tukio la Kibaha.
Sitagombana nanyi wawili katika maneno yangu kujibu hoja zenu kwa sababu demokrasia inaruhusu watu kuwaza wanavyotaka. wanapokosea wanatokea wengine kuwasahihisha na amani inatokea.