M4c - busega

Kwa wana Busega wapenda maendeleo/mabadiliko naomba sasa tuungane katika suala hili nyeti.Mimi nimeanza na kata yangu ya Nyaluhande nimefanikiwa kufanya mkutano wa ndani kwanza then Jumamosi hii nina kikao kingine kwa ajili ya kupanga safu ya uongozi wa CDM kata afu baada ya hapo nimepanga kufanya Ligi ya mpira wa miguu (M4C league)then siku ya final tutavamia vijiji vyote vi5 kufungua matawi na mkutano mkubwa pale Nyaluhande na kupokea wanachama kwani hata hiyo mikutano ya ndani magamba yamevuliwa na nimechukua wana -CUF wote wamesilimu na kuja CDM.So tuungane kuitoa Busega hapa ilipo leo.

Nawasilisha!

NIMEKUWA NIKIJIULIZA KILA SIKU KWA NINI CDM IMEKUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA KIASI HIKI? ..... KUMBE NI KWA KUWA NA WATU THINKERS KAMA WEWE!! NIMEIPENDA SANA HII MKUU..... HESHIMA YAKO!:israel:
 

RED- Wanachama wote waliokuwa CUF kwa kata ya Nyaluhande wamehamia CDM[/QUOTE]

Badili tu pale kwenye post mkuu, KIROHO SAFI!!! Big up
 
Hongera sana Kamanda kwa kazi nzuri tengeza njia makamanda wa nchi kavu na Anga wakija nikumaliza kabisa.Wakati wewe ukipiga Busega Heche na makamanda wengine nao wanapeleka ujumbe kijiji kwa kijiji.Pande zile za Arachuga Kamanda Lema,Milya,Nanyaro na wengine ratiba yao hipo hivi:
Julai 25.Kata ya Themi
Julai 26.Kata ya Kaloleni
Julai 27.Kata ya Sombetini
Julai 29.Kata ya Elerai
Julai 30 Kata ya Daraja mbili
Agosti 1.Kata ya Kimandolu

Hii inaitwa twanga kote kote

hiyo ratiba nilikuwa naitamani sana. Subirini picha tu kesho!
 
Hongera sana Mkuu kwa kazi nzuri. Nipo mbali na ninatamani sana ningekuwepo! Msisahau kupita Mkula, nyumbani kwa Chegeni, na pale Lamadi.
 
Hongera sana Mkuu kwa kazi nzuri. Nipo mbali na ninatamani sana ningekuwepo! Msisahau kupita Mkula, nyumbani kwa Chegeni, na pale Lamadi.

Mkuu Lamadi tayari watu washapigwa shule ya Uraia Wenje ashashuka pale watu wanaelewa sana yaani Busega shida ipo katika kata kama 2 tu tukimaliza Nyaluhande tunaenda Badugu tutakuwa tuna siliba!
 
Back
Top Bottom