>Kunaujumbe waliou-tweet kwa mh.Membe wakisema "TZ KAMA MUNATAKA AMANI KWANINI MUSIUNGE MUKONO MAZUNGUMUZO?"
Alafu wakasema "WONGA WENU NDIO UNAOWACELEWESA KUJA"
>Swali la msingi alilolisema mh.Membe bungeni ni kwamba,kwanini wanaiogopa na kuitisha Tz tu ikiwa ni nchi nyingi zinazokwenda kongo?

M23yaaza Arusha leo
ila kama ni m23,Una hakika ni wao wameandika? Hyo akaunti inaweza ikawa si yao,,anyway, hata gadafi aliwatisha waliokuwa wanataka kumvamia.wanatapatapa
Mimi bado sababu za msingi za kupeleka jeshi letu Kongo sizioni!!
..Kwa manufaa ya nani? Nchi hii kwa sasa ina matatizo lukuki..tunaenda kuatafuta mengine ilhali ya hapa nyumbani hatuyawezi kabisa!
.............uwezi kupata heshima ya kikanda kama hufanyi shughuli ndogo ndogo za kutia watu adabu !