M23 waua Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) - UN Yalaani!

Mkuu hii ni golila war utachezwa mziki kwa miaka mingi sana,msifikiri ni lelemama,wazungu wenyewe hawanashida ya pesa kama waafrika tuna watu wakupoteza wao hawana tatitozo wata kupatia pesa upigane ukifa wao haiwahusu,watanzania ndio walijitia kimbelembele eti wanataka kupambana na m23,haya sasa na picha lenyewe halijaanza,kuna watu wanafikiria kwamba wakitumia nguvu nyingi wataweza kuiondo m23 hapo ni kujidanganya,golila war haimalizi kiurahisi jamaa watakomaa misituni na hawatang'olewa mpaka kieleweke.

Natumahi Udhaifu huu haujapenya na kwenye maisha yako ya kila siku....
 
Ban and the UN should stop nagging over the effect while ignoring the cause! While the same UN is contemplating on military actions on Bashar al-Assad, the same UN ignores those perpetuating the Congo endless war! Ban Ki-Moon stop fooling Africa. Tell US and Britain to add Kagame and Museven to the Bashar al-Assad roll. We all know that the M23 are just mercenaries of the two bloodthirsty presidas in East Africa.
 
Mkuu hii ni golila war utachezwa mziki kwa miaka mingi sana,msifikiri ni lelemama,wazungu wenyewe hawanashida ya pesa kama waafrika tuna watu wakupoteza wao hawana tatitozo wata kupatia pesa upigane ukifa wao haiwahusu,watanzania ndio walijitia kimbelembele eti wanataka kupambana na m23,haya sasa na picha lenyewe halijaanza,kuna watu wanafikiria kwamba wakitumia nguvu nyingi wataweza kuiondo m23 hapo ni kujidanganya,golila war haimalizi kiurahisi jamaa watakomaa misituni na hawatang'olewa mpaka kieleweke.

Unajua ni M23 wangapi wamefariki?
 
JWTZ nawakumbusha kuwa kazi ya jeshi lazima ugangamale...songa mbele bila kusahau R.I.P Meja mpambanaji.
 
Kupigana kwa mwavuli wa UN kuna matatizo yake hasa sheria zao ndio maana wamarekani wanapotaka kulinda maslahi yao wanakwenda bila ruhusa ya UN.

Ili kulinda heshima ya Tanzania kutimiza malengo lazima JWTZ na nchi kwa ujumla tuingia vitani kweli kweli kuwafagia hawa waasi.Kutulia kwa Congo kuna faida nyingi kwetu.
 
Mkuu nimesikitishwa na hoja yako; kuliko kufa huku umekaa na kutazama upuuzi wa akina Kagema afadhali kufa mpaka ukweli ujulikane. Mbona hamsemi wao wamekufa wangapi?

Una uhakika kwamba kina Kagame ndio wanawapatia silaha hayo M23? Tatizo la sisi waTz ni wepesi sana wa kusahau. Je, unakumbuka ishu ya "Mapanki ya Darwin". je, unakumbuka vizuri kuwa kuna ndege za kijeshi zilizokuwa zimebeba Silaha, zilizokuwa zinatua kule mwanza-Tz, unakumbuka? je, umeshawai kujiuliza zile silaha zilikuwa zikiishia/kwenda wapi?
 
Wewe mjinga sana Unawaunga mkono ukiwa kwenye keyboard wenzio wanakufa na familia zao kupoteza wapendwa wao

Ndio maana unaambiwa Uanajeshi wito, na hawalipwi Mishahara kama sisi wao wana Malipo. Kifo ktk Mapambano ni kawaida.
 
Askari wetu wameenda kulinda maisha ya binadamu mahali ambako tayari maisha ya watu milioni 2 yamekwishapotea. Tumeenda kupigana, hatupigani na maiti bali binadamu, hatupendi vifo lakini tunajua vinaweza kutokea, ndiyo maana uamuzi wa kwenda kupigana huwa ni mgumu sana lakini kuna wakati ni lazima uchukuliwe.

Huu siyo wakati wa kulaumu uamuzi bali ni wakati wa kuongeza nguvu ili jitihada zetu zizae matunda. Jambo la muhimu zaidi ni kuangalia maslahi yetu baada ya kwisha vita yatakuwaje. Lazima tuwe na mkakati wa kuhakikisha Tanzania inakuwa na nafasi kubwa kiuchumi ndani ya Kongo yenye amani.

Tusifanye makosa kama yale tuliyoyafanya Msumbiji, Uganda, Comoro na Afrika Kusini. Wakati huu ambapo vita vinaendelea, ni lazima taasisi za kiuchumi ikiwa ni pamoja na makampuni ya Tanzania, yaanze kujiimarisha Congo. Kwa sasa ni lazima tuhakikishe tunaanza na kupata kandarasi zinazoendana na operesheni za kijeshi. Vita inapoisha tuwe tayari tumejiimarisha. Damu ya Watanzania isipotee hivi hivi tu.

Mheshimiwa raisi, warudishe watoto wetu nyumbani. Wafe kwa ajili ya kulinda nchi yao lakini siyo kwenye vita na watu wa Kagame
 
BAADA YA M23 KUPATA KISAGO KELELE ZINZIDI KUWA NYINGI ILI KUENDELEZA PROPAGANDA DHIDI YA MAJESHI YA UN.
HONGERA SANA KWA JUHUDI ZENU M23:

Sing brothers!
IT'S GOOD TO 'FACE THE MUSIC' WHILE SINGING! IT IS A VERY HEALTHY PRACTICE!!!!!!!!
 
Mkuu nimesikitishwa na hoja yako; kuliko kufa huku umekaa na kutazama upuuzi wa akina Kagema afadhali kufa mpaka ukweli ujulikane. Mbona hamsemi wao wamekufa wangapi?

Ninge kuunga mkono kama ungekua frontline,unasema hivyo wakati umo kitandani kwanya ka blackberry kako,wakati wengine wako wana sambaratishwa na m23,wewe utatunza familia zao,kama uko mwanaume kanyaga goma uone cha moto.
 
Mkuu kazi ya jeshi ni kufa au kuua. Mimi nilikwisha tumikia jeshi wakati wa vita vya Kagera(muulize JK). Ahsante kwa kauli rejareja lakini kuna wanachopigania kwa ridhaa yetu wote. Kwani hao M23 hawafi? Mbona mnakomalia upuuzi wa M23 na wafadhili wao.
 
Kupigana kwa mwavuli wa UN kuna matatizo yake hasa sheria zao ndio maana wamarekani wanapotaka kulinda maslahi yao wanakwenda bila ruhusa ya UN.

Ili kulinda heshima ya Tanzania kutimiza malengo lazima JWTZ na nchi kwa ujumla tuingia vitani kweli kweli kuwafagia hawa waasi.Kutulia kwa Congo kuna faida nyingi kwetu.

Mkuu naomba uwe specific, umuhimu wa hii vita ya wa-Congo kwetu sisi Tz ni upi?
 
Mh.MEMBE ulikua ukishabikia JWTZ kwenda DRC!nadhani madhara unayaona sasa

M 23 iliwaandikia bunge la tanzania ili isitume wanawatanzania kufia bure huko kongo,kwani wao m 23 wanajua wanacho pigania tena wanasababubu na nia,lakini huyo mtanzania anayeenda kwa sababu ya vijipesa vya UN na mwisho wake hatavila vibaki kuliwa na wakubwa,nafikiri ingekua busara kama membe angeenda yeye mwenyewe au awapeleke watoto wake vitani.
 
Ndugu

Umeongea maneno ya msingi sana kwa sentensi moja tu.

Hivi tunaweza kuhalalisha uwepo wetu huko Congo katikati ya hivi vita kwa vigezo vipi ?

Respect !!!

Mkuu tusiwe wabinafsi, leo DRC kesho who knows na mambo yetu yasio na matumaini hapa. Wanawake na watoto wa Goma wameteseka sana kwa sababu ya Ubinafsi wa Kagame na M7n. Yes wanajeshi wetu watakufa lakini watawakomboa hawa watu wasio na hatia na kuifanya Congo sehem salam ya kuishi. Unakumbuka Tz mwaka 67 kama si Waingereza tungekuwa wapi??.........
 
R I P SOLDIER na mapambano yaendelee mpaka nia na malengo yaliyokusudiwa yatimie.
 
Back
Top Bottom