BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Inatakiwa itengenezwe sababu ya Tz kuivamia na kuitwaa Rwanda.
Alshabaab wanawatosha Wakenya.
wazo zuri kama unataka TZ lugha ya Taifa iwe Kinywaranda.
Siungi mkono kuivamia Rwanda au Uganda kijeshi badala yake UN intervention brigade iimarishe ulinzi mpaka wa Kongo vs Rwanda & Uganda. Halafu yale madege yasiyokuwa na marubani (sijui yanaitwaje, drones eti?) yaletwe haraka! Nadhani mnajua kwanini Kagame alipinga kuletwa kwake hayo ma-drones.Inatakiwa itengenezwe sababu ya Tz kuivamia na kuitwaa Rwanda.
wazo zuri kama unataka TZ lugha ya Taifa iwe Kinywaranda.
Nimecheka sana!!! yaani urafiki wetu na Kenya sijui unaenda wapi? yaani huwezi amini kuna uwezekano mkubwa sana moyoni kuna watu wanaunga mkono operation za Alshabab pale Kenya
Siungi mkono kuivamia Rwanda au Uganda kijeshi badala yake UN intervention brigade iimarishe ulinzi mpaka wa Kongo vs Rwanda & Uganda. Halafu yale madege yasiyokuwa na marubani (sijui yanaitwaje, drones eti?) yaletwe haraka! Nadhani mnajua kwanini Kagame alipinga kuletwa kwake hayo ma-drones.
wazo zuri kama unataka TZ lugha ya Taifa iwe Kinywaranda.
Una maana Rwanda inaweza jibu mapigo na kuishinda TZ then kuisilimisha lugha ya kinyarwanda? You can't be serious. Hata sasa pasipo kupigana tumeshawasilimisha lugha ya Kiswahili na tamaduni za Kitanzania ninyi Wanyarwanda. Sasa sipati picha endapo TZ na Rwanda zikipigana halafu mkapigwa, tutawafundisha Kizaramo kinawatosha.wazo zuri kama unataka TZ lugha ya Taifa iwe Kinywaranda.
Hao Askari wa UN wataendelea kukaa hapo mpaka lini? Kumbuka uwepo wao huwa wanalipwa kila siku, chanzo cha mgogoro kinafahamika kuwa ni Kagame na M7, kuna umuhimu wa kuwatoa hao.
Mkuu hata mimi mmoja wapo, Wakenya wanajiona wapo juu sana Afrika Mashariki na Kati, acha wapigwe kwanza.
Musiwe na wasi wasi tungali. tuko congo hatujaenda fasi. Muti ingali na mizizi. mwanaume kama hajakufa usimucekelee. causes ambazo zinaleta vita mu congo zingali. leo M23 wazungu wanaweza amuwa kuimaliza kesho kunakuya bengine na ingine jina. wakati yote congo ingali na waongozi wambaya vita zitaendeleya. na kama FARDC ilisha anza iba batu ma telephones Rutshuru na Goma. misiwaceke ni sababu mushahara yenye wanapokeya haiwezi kumaliza shida ambazo wako nazo. avec 40usd ku mwezi hauwezi kulisha bibi na batoto. il fo babanyaganye ma telephones zenu juu bapate za cakula
Mkuu bila kumtoa Kagame trust me, it's just a matter of time before M23 will rise again. This is a cat and mouse gameSiungi mkono kuivamia Rwanda au Uganda kijeshi badala yake UN intervention brigade iimarishe ulinzi mpaka wa Kongo vs Rwanda & Uganda. Halafu yale madege yasiyokuwa na marubani (sijui yanaitwaje, drones eti?) yaletwe haraka! Nadhani mnajua kwanini Kagame alipinga kuletwa kwake hayo ma-drones.
Haha!
Unajua nyinyi jamaa mnachekesha sana, Rwanda inaingia vipi wakati ni Ugomvi wandani Congo wenyewe?