Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,490
- 5,981
Ni tangazo lililotolewa na msemaji mkuu wa serikali ya DRC, Patrick Muyaya.
Amesema wanazo taarifa za uhakika za kila kinachoendelea. Hata hivyo, inasemekana kushirikiana na serikali ya Burundi, Uvira mpaka sasa ina wanajeshi zaidi ya elfu 60, kutoka Burundi, Wazalendo, FDLR, Mamluki na jeshi la DRC lenyewe, ambapo wameandaliwa kuhakikisha M23 inapoteza maeneo yote iliyotwaa.