M23 itegemee matokeo zaidi ya vita ya drone

M23 itegemee matokeo zaidi ya vita ya drone

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,365
Reaction score
7,216
Ulimwengu sasa sio wa vita ya vifaru na RPG ,ulimwengu wa drone za kivita ndio maana wenye akili sasa wanawekeza kwenye kuziunda ,kuzitumia na kuzi jamm,sasa sijui m23 wamejiandaa kwa elimu ya jamming kwa sababu hili ni jambo mtambuka hata ukraine anahangaika bila mafanikio
Hitimisho Jeshi la kongo na washirika wake walipoteza muda sana kufanya gorilla war na hawakufanikiwa mpaka leo juzi tu Mmarekani kaingilia mission wameondoka na msemaji.
Jeshi imara sio vifaru na mabaunsa wanavunja matofali kwa kichwa
Jeshi imara ni Technolojia
Kagame nae yupo vizuri kwenye technolojia kama nae ataingia tutarajie mengi zaidi
 
Back
Top Bottom