M-pesa & tigo pesa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M-pesa & tigo pesa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kabaizer, Oct 17, 2011.

 1. Kabaizer

  Kabaizer JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Jamani mwenye ofisi na anatafuta wakala mi nipo tayari kufanya hiyo kazi, naomba msaada wenu wa ajira wakulu!
   
 2. Chibidu

  Chibidu JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wakala wa nini?
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Nafasi ya wakala katika M-pesa na Tigo pesa kwa mfanya biashara mdogo walau One million or laki tano kwa mtu mwenye mtaji mdogo saana na kutegemea mazingira ulotegesha kama yanawateja wengi ama lah! But hizo biashara kwa hakika kabisa ni bora ukawa na mtaji angalau from 7-15&20 million ili kufanya biashara inayoeleweka na kuweza pata commission kubwa toka kwenye kampuni husika.... Take note kua commission ya M-pesa ipo juu kuliko Tigo pesa na pia the former inawateja wengi kuliko the later....

  Swali: kama una uwezo wa kuwa wakala... Unaomba kazi ya nini? Ama sijakuelewa?? Ama hujaelewa kua wakala ni nini??
   
 4. p

  prindi Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nilivyoelewa me anataka kufanya kazi kwa wakala wa izo business
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,107
  Trophy Points: 280
  tatizo lake ni mtaji, ila anaomba mtu kama watafanya biashara, yeye ndo awe manager wa hiyo biashara
   
 6. M

  Munkya Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  commission inatolewa kwa rate zipi ili tujue zaidi
   
 7. Kabaizer

  Kabaizer JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Yap kaka nataka kufanya kazi kwa wakala,sorry kwa kutoeleweka jamani!
   
 8. Kabaizer

  Kabaizer JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Jamani kwa wale mawakala wanaohitaj mfanyakazi, nilikua sijaongea vizur ila now nadhani mmenipata wakuu!
   
 9. Kabaizer

  Kabaizer JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Hiyo ndo maana yangu jamani!
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hivi kufanya kazi kwenye wakala wa M-Pesa unahitaji qualifications zozote maalumu?
  Nakushauri upanue area unayotafuta kazi, au kuna sababu maalumu ya kutaka kazi kwenye wakala wa M-pesa napata shida kidogo kuelewa, kama una experience ya sekta hiyo ni vizuri ungesema hivyo kumbuka kutafuta kazi ni "kujiuza" kwanini watu wakupe wewe badala ya wengine.
   
Loading...