Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
Think before u open ur trapUvivu wa kupanga foleni bank unawacost....!!
Mambo
Think before u open ur trapUvivu wa kupanga foleni bank unawacost....!!
Luku ndo balaaMpesa sucks... Poor customer service, poor support.... Aaah mi naitumia kwa dharura tu... Tena usiombe ununue luku.. Unaeza pata baada ya masiku.....
Certified lofa...hahahThink before u open ur trap
Mambo
Did u think this time?!Certified lofa...hahah
Aise mi nimewachoka sitaki hata kuwasikia...Luku ndo balaa
Na magharama Yao yako Juu...Aise mi nimewachoka sitaki hata kuwasikia...
Mkuu tarehe moja mwezi wa7hakukuwa na siku kuu nashukuru nimezama the now now huko twitter kwenye page Yao nikawapa Makavu dakika hii wamenipigia the Naona wameniambia mpk Saa 8 muamala haujarudi nikacheki tena twitter.. Mie naweza kuingia twitter, je big mkubwa pale kijijini?!Hapana fanya muhamala siku za sikukuu au long weekend. Utalia.
Wahanga tuko wengi.Kumbe tuko wengi
Mpesa Simbanking ya CRDB ogopa sana. Ukipiga simu huduma ya wateja CRDB wanakuambia usikate simu harafu mazima hadi simu yao inakata automatic, unapiga tena ukijipa matumaini kuwa ni mtandao, wanakuambia tena subiri usikate simu harafu mazimanimetuma muamala toka tarehe 2 mwezi huu, mpk Leo pesa haijaingia kwenye akaunti. mmefanya sikukuu kwangu umekuwa chungu. Halotel hivi MNA halopesa?
Dawa yao ni kupambana nao twitter and Facebook... Mi nilitumia twitter ndani ya 2 day wakarudisha.. Issue inakuja kwa wale majority ambao hawajui twitter au Facebook... It's horrible3G914GRZ4Z Confirmed. Your M-Pesa balance was Tsh88,967.00 on 9/7/16 at 2:02 PM.
Finally wamenirejeshea mpunga wangu baada ya kuwatangazia vita
Hongera sana na pole3G914GRZ4Z Confirmed. Your M-Pesa balance was Tsh88,967.00 on 9/7/16 at 2:02 PM.
Finally wamenirejeshea mpunga wangu baada ya kuwatangazia vita
vodacom huduma yao ya m pesa ni mbovu nimewahi kununua luku imerudi meseji baada ya siku tatu , ukipiga customer care ni kero haipokelewi kwa wakati. Tigo pesa wanajitahidi muamala uishindikana pesa inarudi hapo hapi na ukinunua luku meseji inaingia hapo hapoPole pia
Lakini jibu ni kuwa wale wanao pokea simu huwa wanawasilisha tatizo na watatuaji ni wengine ambao ukisema tatizo wanakuambia tunalipeleka idara husika ndani ya masaa..... utajulishwa (sasa wale idara husika ndio team doroooo) iwe umelipa bill kimakosa,umetuma pesa kimakosa