M-pesa mnazingua

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,442
16,022
Wale wenzangu na mimi tunaotrade na Templerfx na kutumia M-pesa kufanya transaction vipi mnakumbana na tatizo kama langu? Maana tangia last week nashindwa kuwithdraw vijisent vya kubadilisha mboga. Au yule jini mharibifu ashatembelea na huku?
ipay.JPG
 
M-Pesa hivi karibuni wamekuwa kwenye maintenance za mara kwa mara.


Itakuwa wanataka kuboresha zaidi huduma zao.
 
ukipata chance toa pesa yote mkuu. Nasikia kuna Ban inawanyemelea ili kuzuia utakatishaji fedha na ukwepaji kodi kupitia hizi biashara za mitandaoni
 
Back
Top Bottom