Message of the day!

Message of the day!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,924
Reaction score
95,728
f4bc4589d57ac0e2a63162d31ed05822.jpg
 
Respect is paid/issued by respecting one......

Nice message though kwa wenye ndoa zao......

Ila nungayembez na dungadungaz ............
 
Respect goes number 1, bila hilo hakuna utulivu zaidi ya ugomvi baina yenu!
Ugomvi usio na mwisho hupelekea loss of appetite ya mapenzi due to stress.
Loss of appetite hupelekea sex denial na baadae michepuko.

Respect kwa mwanaume huufungua moyo wa upendo zaidi na kuthamini, huwezi kumpenda na kumtendea uzuri mtu asiyekuheshimu wala sitaumia kichwa kama unaridhika au huridhiki kitandani ikiwa unanchukulia poa!
 
"respect is earned not given"
Afu kama kwa mwanaume ishu ni respect tu, asingeoa angebaki nyumbani kwao aheshimiwe na dada zake
Unaakili sn wewe!!unajua aliyesema the greatest need of a man is sex ni mwanaume,ina maana yeye ni mwanaume kwa hiyo anajua nn mahitaji ya mwanaume,sasa nashangaa huyu mama kakurupuka na ajaribu kutuongelea sisi wanaume,angeongelea the greatest need of a woman sawa nisingempinga lkn kwa hili,a big no!kama ni respect naipata hata kwa ndg,jamaa na hata marafiki zangu wa kike!
 
Respect goes number 1, bila hilo hakuna utulivu zaidi ya ugomvi baina yenu!
Ugomvi usio na mwisho hupelekea loss of appetite ya mapenzi due to stress.
Loss of appetite hupelekea sex denial na baadae michepuko.

Respect kwa mwanaume huufungua moyo wa upendo zaidi na kuthamini, huwezi kumpenda na kumtendea uzuri mtu asiyekuheshimu wala sitaumia kichwa kama unaridhika au huridhiki kitandani ikiwa unanchukulia poa!
Kila binadamu anahitaji respect sio mwanaume pekee!
 
Huyu mama naona anazungusha mikono tuuuu....
Kwanza sijaelewa mie hiyo lugha iloletwa na majahazi.
Ngoja nikapike zangu ugali mie
 
Back
Top Bottom