M-NEC Arusha Mjini, Mwalusamba ni heshima sana kwenye mitaa

jumajuma

New Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Kwenye kikao cha halimashauri kuu ccm wilaya ya arusha mjini Mnec mwalusamba atoa msaada wa sh mil 10 kwa ajili ya uchaguzi wa serekali za mita kata zote za arusha mjini huu ni mfano wa kuingwa kwa wanec wote kusaidia kipindi cha uchaguzi wa serekali hii imekuwa changamoto kwa wanec wengine mnec amesisitizia umuhimu wa mshikamano na umoja ndani ccm.
 
Huyu jamaa alitajwa kwenye tuhuma za kifo cha utata cha mkewe marehem Shangwe Kawala takriban miaka mitatu iliyopita. Hajawahi kujisafisha na ile skendo.. Ni mtu wa kutiliwa mashaka na asiye mfano mzuri kuigwa. Period!!!
 
Ukoo wa panya. Hela za kazi gani?? Kununua wapiga kura?? Arusha tunajitambua. Hela tutakula maana mnarudisha mlizo tuibia kura tutawapa chama makini.
 
Huyu jamaa alitajwa kwenye tuhuma za kifo cha utata cha mkewe marehem Shangwe Kawala takriban miaka mitatu iliyopita. Hajawahi kujisafisha na ile skendo.. Ni mtu wa kutiliwa mashaka na asiye mfano mzuri kuigwa. Period!!!
Yule mama mbona wewe na kundi lako ndiyo mnatuhumiwa kumuuwa yule mama.
 
Kwenye kikao cha halimashauri kuu ccm wilaya ya arusha mjini Mnec mwalusamba atoa msaada wa sh mil 10 kwa ajili ya uchaguzi wa serekali za mita kata zote za arusha mjini huu ni mfano wa kuingwa kwa wanec wote kusaidia kipindi cha uchaguzi wa serekali hii imekuwa changamoto kwa wanec wengine mnec amesisitizia umuhimu wa mshikamano na umoja ndani ccm.

Most likely ni double IDs hii ndio post yako ya kwanza na imekuja na kumsifu mmojawapo wa panyarod wa chama chawala
 
jama kiukweli yupo vizuri kutoa mil 10 PESA ZAKE MWENYEWE ANGETUMIA KWA MATUMIZI YAKE MWENYEWE NAKUPA big up huyo mnec karibu na kwetu jaman morogoro keep ittttt
:flypig:
 
Ujakosea kabisa wanatapatapa waone hapa kwenye pic walivyojikunja lumumba kwa ujira wa buku saba saba. Warudishe kwanza hela za Escrow
 
Attachments

  • IMG-20141116-WA0024.jpg
    IMG-20141116-WA0024.jpg
    16.7 KB · Views: 270
Ujakosea kabisa wanatapatapa waone hapa kwenye pic walivyojikunja lumumba kwa ujira wa buku saba saba. Warudishe kwanza hela za Escrow

Duuu kazi wanayo hapo ni kuporomosha matusi, kashfa na kejeli na kubisha hata vitu vya wazi kabisa
 
jama kiukweli yupo vizuri kutoa mil 10 PESA ZAKE MWENYEWE ANGETUMIA KWA MATUMIZI YAKE MWENYEWE NAKUPA big up huyo mnec karibu na kwetu jaman morogoro keep ittttt
:flypig:

Hana jipya! Afadhali angewasaidia wazazi wake wawe na angalau nyumba ya maana ya kuishi.
 
Kwenye kikao cha halimashauri kuu ccm wilaya ya arusha mjini Mnec mwalusamba atoa msaada wa sh mil 10 kwa ajili ya uchaguzi wa serekali za mita kata zote za arusha mjini huu ni mfano wa kuingwa kwa wanec wote kusaidia kipindi cha uchaguzi wa serekali hii imekuwa changamoto kwa wanec wengine mnec amesisitizia umuhimu wa mshikamano na umoja ndani ccm.
Hii ndugu yangu ni Hong na wala si heshima. Uchaguzi kama ni wa ndani ya vyama unatakiwa ugharamiwe na vyama vyenyewe na wa serikali ugharamiwe na serikali kuondoa conflict of interest.
 
dah magamba...yanajua kuhonga tu..damn it...:yell:
 
Kwenye kikao cha halimashauri kuu ccm wilaya ya arusha mjini Mnec mwalusamba atoa msaada wa sh mil 10 kwa ajili ya uchaguzi wa serekali za mita kata zote za arusha mjini huu ni mfano wa kuingwa kwa wanec wote
kusaidia kipindi cha uchaguzi wa serekali hii imekuwa changamoto kwa wanec wengine mnec amesisitizia umuhimu wa mshikamano na umoja ndani ccm.

Bwana Jumajuma kama ingekuwa ni kipindi kile cha CCM ninayoiamini mimi as per katiba ya CCM na miiko ya uongozi..huyu bwana aliyetoa milioni 10 angeitwa NEC kuhojiwa amezipata wapi hizo hela nyingi kufadhili Chama wakati tunavyanzo vya hela na michango ya kawaida ya wanachama. Atarudishaje hela zake pindi uchaguzi ukiisha..kisha uwanachama wake ungejadiliwa..maana lazima atakuwa mlanguzi katka nchi maskini kama TZ ameqezaje kupata hela hizo kwa ajili ya uchaguzi wakati chama kina bajeti yake ktk hilo..najiuliiuluza tu..ila kwa CCM ya sasa na ufisadi huu hamna kitu anasifiwa kama baadhi yenu mnavyofanya..
 
Back
Top Bottom