Sasa kwani akiuliza huku kuna shida gani, mbona kama point yako sio ya msingi ...Mtu anapouliza kitu katika forum anataka apate experience za watu , elimu mbalimbali kuhusu Mada husika ili aweze sio tu kufanikisha jambo lake Bali pia awe ameongeza kitu katika jambo analolitaka kufanikisha aidha elimu ,networking na watu husika katika shughuli hiyo na experience kwa waliowahi kufanya kitu icho na kama haitoshu kupunguza beurocracy au mlolongo mrefu katika kufikia huduma anayoitaka. HIVYO PUNGUZA NEGATIVE MIND 2026.