M/Kiti wa ZEC Salim Jecha: Maalim Seif asiogope kurudia uchaguzi

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
DSC01018.jpg
 
JECHA alitakiwa afungwe jiwe shingoni na kutoswa kwenye mkondo bahari wa nungwi
 
Jecha bado anakiburi cha kuongea mambo ya Uchaguzi...... Kweli Binadamu tunatofautiana akili.
 
Wazee ni hazina lakini pengine mzee na mzee,umepoteza mamilioni ya fedha ya wavuja jasho kwa uzembe Wa kushindwa kusimamia walio chini yako alaf unatoka kifua mbele kutaka kurudia zoez?
kuna mkuu Wa shule alipigwa chini kwasababu walimu Wake walipigana, huyu ni exceptional kwa maslahi yanani?
 
Back
Top Bottom