M/Kiti wa TEF, Deodatus Balile, M/Kiti wa MPC, Edwin Soko, Moses Mathew wa TBC na Manguli, Chini ya Dotto Bulendu na Pasco Mayalla Live on Star TV.

  1. Mkuu jaribu kuuliza kwanini hatupewi updates za huu ugonjwa? Mbona mamlaka iko kimya sana?
  2. Muulize waziri kuhusu haki yetu raia ya kupata habari mbona inakiukwa Sasa?
Swali la kwanza ni kumuonea bure, kwasababu yeye sio miongoni mwa wale watu wa update.
Swali la pili ni valid question, nitamuuliza.
P
 
Back
Top Bottom