Message inasemaje??? At least we know nani unawasiliana nao kwa daily basis....lol

Each time I try to open up new ID mods would quickly merge it with my traditional ID Mwita25.



What are you saying?? That mimi zakwangu wanaziachiia?? tatizo wee unamakusudi... New ID inakua Atiwm52.... Do you think the mods are that stupic??
 
Alter Ego, na mimi naenda kupokea kakiasi, si unajua leo ni weekend wasije wakafunga... Kiss kiss and have a lovely weekend!



Make sure you use it exactly the way you alter would want you to....lol... Be good dear... have a lovely weekend.
 
Nimeomba ratiba na nataka kwenda kuangalia John English pale m city...ndio imeingia theatres...
Nimekumiss pia sisy...
Nilipotea kwani SL hakuwepo pia...kama umegundua..



Pole saana dear.... najua wam-miss... Hio picha as much as simpendi "Mr. Bean" I want to watch that movie... it seems really nice....
 
Pole saana dear.... najua wam-miss... Hio picha as much as simpendi "Mr. Bean" I want to watch that movie... it seems really nice....

Its an action movie...niliangalia ya kwanza na ilikuwa nzuri sana...its a must watch movie
 
Sms yangu ya mwisgo iliingia saa 1.45 pm.

"Dear nimeshindwa kuja baba yupo, nitajitahidi kesho wakati wa kwenda kanisani nipitie hapo. Usichukie, nakupenda sana.
Usijibu simu ni ya mama."
 
Ehe..na kwenye movie upo? Interests na hobbies zako nini haswa? AshaDii..I need to know u more plzzz


Rejao tatizo I am interested na yale yoote yanizungukayo.... Iwe entertainment... iwe politics.. iwe culture... iwe relationshipis.... iwe families... iwe current issues... iwe art (hasa world art)... iwe women issues hasa in relation with men.... Lakini kuna yale ambayo mimi ni mlevi wa kutupwa.....

  1. Music... Haijalishi ipi.... Reggae, soul, R&B, zouk, za kihindi, kwaito, Bongo flavour... the list goes on!
  2. Books... My best writters to date Mario Puzo, Harold Robbins, Jeffrey Archer and Nora Roberts...
  3. Cooking... I love cooking hasa for my loved ones...
  4. Movies... Eny hollywood movie imetoka mpya mpaka mwaka huu early i have watched thou saizi sina saana access
  5. Art and Photography zinafungana...
 
Nakuwa busy na kazi sasa mtu anataka upige cm tuu! Wakati ukichanganya tu umearibu kazi za watu.... Alafu sijazoe kupiga piga cm
Come on Man up!! kama humtaki mwambie ukweli usimpotezee bana... ndo nini kuumiza roho za watu hivo?? lol
 
Back
Top Bottom