Message inasemaje??? At least we know nani unawasiliana nao kwa daily basis....lol

asha unafahamu mwanamke mzuri lazima atatongozwa sana lakini mimi sina wasiwasi Husninyo anapangua mitego kama Fabregas hahaha!

Ni vuzuri kama unaelewa hivo... Hata hivo my woman instict zina shout as much as una an impecable cv...lol... Bora kama hutishiki lkn.. Na kua mambo na Husny hayajababilika....
 
Hus ni mpenzi wangu kwenye haya maisha ya 'kusadikika' hapa JF,hii sms ni huku uraiani kwenye 'maisha bora kwa kila mtanzagiza', huyu small house nimempiga chini baada ya kugundua karibu 40% of my income inaishia kwake na maendeleo yangu yame-stagnate toka nilipoanza kummiliki.
 
Hilo jina lilinichanganya bana....lol... Hivo nilitaka kujua ni mkaka ama mdada maana ile message ilitaja jinsia.... Haya tuache hayo... Tell me... Vipi amepona??

anaendelea vema make nimemwona leo akiendelea na biashara zake kama kawa! Ugonjwa umehamia kwangu sasa, kale katumbo ka kupokea 'mshahara' kwa mbaali kanauma! Naomba pole yangu nilale Asha, ili niwahi job kesho
 
Wish is the father to the thought......so be careful with your wishes cause some day they will become true
 
Hus ni mpenzi wangu kwenye haya maisha ya 'kusadikika' hapa JF,hii sms ni huku uraiani kwenye 'maisha bora kwa kila mtanzagiza', huyu small house nimempiga chini baada ya kugundua karibu 40% of my income inaishia kwake na maendeleo yangu yame-stagnate toka nilipoanza kummiliki.

Umenifurahisha co-worker... This is deep. 40 percent??? Aisee nyumba ndogo wana raha tuache mzaha... Na hizo message zitazidi tu kumiminika....lol..
 
anaendelea vema make nimemwona leo akiendelea na biashara zake kama kawa! Ugonjwa umehamia kwangu sasa, kale katumbo ka kupokea 'mshahara' kwa mbaali kanauma! Naomba pole yangu nilale Asha, ili niwahi job kesho

Kuberwa am SO sorry sikukupa pole yako ili ulale salama... Jana niljikuta tu nimelala (matatizo ya kua jf kitandani tena kwa cm ya mkononi...lol). Mzima lakini??? Mshahara wako ushaanza? Lol
 
Back
Top Bottom