M-bet wanakula pesa zangu kila siku

kuna dawa moja hivi niliitoa sumba wanga ngoja nikudokezee.

tengeneza kibubu/au chukua kibuyu
kining'inize kwenye kona ya chumba chako
sasa fanya hivi

kama kila siku unaliwa elfu kumi kumi
1. uninstall program zote za prediction ktk simu ama computer yako
2.uninstall app zote za kubet i.e meridian app m-bett app n. n.k
ile elfu kumi kumi unayo liwa kila siku ifikapo jioni usiipeleke kwa muhindi
wewe dondoshea kwenye kile kibuyu
FAIDA ZA DAWA HII

KWA WIKI UTKUA NA UHAKIKA WA KUINGIZA ELFU 70(zile ndani ya kibuyu) sawa na aliye weka boda boda mtaani

zidisha hiyo 70000/= kwa mwezi=?
kwa mwaka je? huja fanya la maana?

NB
Kwangu mimi dawa hiyi haijawahi kuniangusha

Sina cha kuongeza, pamoja mkuu.
 
tiazo Tatizo M-BET hawaruhusu kubet "single match"
Mi niko zangu MKEKA BET,Naruhusiwa kubet match moja tu,so naweka mzigo wa kutosha kwenye timu yenye uhakika wa kushinda hata kama ODDS ni 1.15....
Nikiweka 50,000/=Kitu kinajipa 70,000/.....
mechi ikiisha,naweka tena kwenye timu nyingine....
so kwa siku nakusanya tu twenty twenty hizo kama mara sita hivi,maana huku match zinaanza tangu asubuhiii......
M-BET nilishawakimbia!
Hongera sana, umejitambua mapema
 
Wengine wanapolia, wengine wanavuna mamilioni
IMG-20170823-WA0121.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom