M-bet wanakula pesa zangu kila siku

Wadau na wanasoka wa jf nijuzeni jinsi kubet nishindi uyu mwarabu anakula pesa zangu kila siku
kuna dawa moja hivi niliitoa sumba wanga ngoja nikudokezee.

tengeneza kibubu/au chukua kibuyu
kining'inize kwenye kona ya chumba chako
sasa fanya hivi

kama kila siku unaliwa elfu kumi kumi
1. uninstall program zote za prediction ktk simu ama computer yako
2.uninstall app zote za kubet i.e meridian app m-bett app n. n.k
ile elfu kumi kumi unayo liwa kila siku ifikapo jioni usiipeleke kwa muhindi
wewe dondoshea kwenye kile kibuyu
FAIDA ZA DAWA HII

KWA WIKI UTKUA NA UHAKIKA WA KUINGIZA ELFU 70(zile ndani ya kibuyu) sawa na aliye weka boda boda mtaani

zidisha hiyo 70000/= kwa mwezi=?
kwa mwaka je? huja fanya la maana?

NB
Kwangu mimi dawa hiyi haijawahi kuniangusha
 
Aaaah mkuu hiyo 70000 kwa wiki ukiweka kwenye timu tatu zenye odd ya 7.5987652 unapata kiasi gani
 
Ni wengi sio wewe pekee, mimi hadhi niliamua kuifuta app yao kwenye simu yangu!
 
tiazo Tatizo M-BET hawaruhusu kubet "single match"
Mi niko zangu MKEKA BET,Naruhusiwa kubet match moja tu,so naweka mzigo wa kutosha kwenye timu yenye uhakika wa kushinda hata kama ODDS ni 1.15....
Nikiweka 50,000/=Kitu kinajipa 70,000/.....
mechi ikiisha,naweka tena kwenye timu nyingine....
so kwa siku nakusanya tu twenty twenty hizo kama mara sita hivi,maana huku match zinaanza tangu asubuhiii......
M-BET nilishawakimbia!
 
Mchezo unae pesa xema kam unae nyota y punda utaliwa kl cku n wa2 hawaelew unatakiwa kuweka mech chache xa unakut m2 anaweka mech 12 lazma upate kibigo
 
tiazo Tatizo M-BET hawaruhusu kubet "single match"
Mi niko zangu MKEKA BET,Naruhusiwa kubet match moja tu,so naweka mzigo wa kutosha kwenye timu yenye uhakika wa kushinda hata kama ODDS ni 1.15....
Nikiweka 50,000/=Kitu kinajipa 70,000/.....
mechi ikiisha,naweka tena kwenye timu nyingine....
so kwa siku nakusanya tu twenty twenty hizo kama mara sita hivi,maana huku match zinaanza tangu asubuhiii......
M-BET nilishawakimbia!
Umenipa maujanja hapo lazima nianze Na mtindo wa single match
 
Back
Top Bottom