M-bet Kenya, Tanzania, Uganda Database hacked and breached

rootadmin

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
349
Reaction score
243
Here is the database that contained all users info about users 1,824,953 leaked and dumped.. enjoy. .note there is more than this..


below is the link to download the database breached



the users table details





the administrator and his tokens....

here is how to use the tokens
to get full account info


to check balance.
... nex post i will show you how to access system admin....
 
Heee kindly update my balance
 
Kwa hiyo tuka download zile Pesa zao sio?
 

decryption key
XOG1D60jpebADd_STTYxcpJSL37d6SIgpIPm-8UxXQM
 
Vijana mnapenda kuwa waharibufu badala ya kutumia ujuzi wenu kuliletea taifa na ninyi wenyewe maendeleo.hapo umeharibu data za watu walla hujafaidika chochote wao wanabackup watarudisha na biashara itaendelea. Wewe hujanufaika na wala huwezi kuweka kwenye cv halali.
Endapo ungeenda na kuwaambia tatizo lao huenda mngeweza kukaa chini na kufanya biashara. Hii ni kwa vijana wote tujitahidi kung'amua matatizo yanayoikumba jamii yetu na kutafuta namna bora ya kutatua.
ULICHOFANYA NI UPUMBAVU TUMIA TAALUMA/UJUZI KWA MANUFAA
 
Pata chai kwanza...... Maana umeongea point... Kisha nitakujibu
 
Wenye uelewa na haya mambooo watakuambia nyondo walizonazo system administrators ukireport bug...

So kabla ujatoa shit ni vema ujiulize kwann zimekuja JF..

THINK MDOGO WANGU KABLA UJAONGEA
 
Kaka hapa ni tanzania sio mbele. Wenzetu wanaprogram hizo lakn sisi tunajifanya wajuaji kupeana madili kama hayoo ni roho ya koroshoo. Unaweza kupereka taarifa wakazichukua na wakakugeukiwa wewe au kukushit. Hoja uliongea ina maana sehemu ambapo wanatoa pesa kulipa hackers wagundue madhaifu ya system kama google au kampuni kubwa. Lakn hapa tanzania kwetu mtu hata pesa ya korosho hakupi
 
hahaha! Povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…