Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 88
- Thread starter
-
- #21
Bora zisiwe mission town kama za yule jamaa wa mwezi uliopita pale DC.
Yule wa DC siyo mwizi bana..isitoshe mission town zangu ni legit......muda wote natumia G1(goole phone)
Tupeane michoro basi dadangu kama hizo mission town zinalipa.
Zinalipa vibaya sana!na uchumi mbaya lakini bado nadunda tuu can you imagine that?...hahahahahaha..anyways miye sichezi dili na wabongo ndugu yangu wasije niharibia bure maana ni wana roho za kwanini....wataniliza bure.
Nipe hint basi lakini asiniambie Primerica or Meleleuca or life insurance tell me something different please.
hahahaah i did life insurance a while back in 2002......hahaha sasa nikikupa si ndiyo manake nimeshakwambia what it do you know....But not close to Ben madoff....yule ni classic mission town aisee!...But mostly niko based kwenye investment.
Yule wa DC siyo mwizi bana..isitoshe mission town zangu ni legit......muda wote natumia G1(goole phone)
Is it morgage or real Estate or Stocks what is it ?
Morgae/real estate hakuna deal sasa hivi.......Na deal na stock....
Haya basi mimi ngoja niingie kufanya mazoezi..nice tallking to you buddy!...
Sikonge umeijuaje hii site...i had no clue aisee ipo very alright.thank you aisee.Kumbe saa nyingine ina make sense kuuliza eeeh.
Jamaa kapewa ki-web space tu na mahost, lakini naona kakitumia ipasavyo.... I really liked the way how simplified the site is not forgetting the quality and quantity provided. Amejitahidi sana... anahitaji support kwa kweli. Thanks to Sikonge kwa kiunganishi kile na nikushukuru wewe pia kwa kuuliza swali hapo juu.
SteveD.
Kelly wala sikumbuki nilianzia wapi kuijua. Ila nakumbuka kupata ujumbe tuwe tuanachangia kuweka maneno. Nafikiri kama sikosei ni miaka ya 90 wakati nikiwa member wa Tanzanet forum. Ila naona kwa sasa wana nyimbo nyingi sana. Huwa nikitaka kufika huko naandika wimbo wa Tx Moshi akiwa POLISI JAZZ wa "unalewa bila kipimo". Huu wimbo kwa kweli naupenda sana na hamna sehemu unaweza kusikiliza. Ukiandika kwenye google zinatokea kama site mbili, moja ni humu JF na ya pili ni hiyo.
Inabidi HONGERA zimfikiei Tizedboy na wote waliochangia. Kama ikiwezekana, basi JF waisaidie hii site na kuiwekea LINK moja kwa moja kutoka humu JF. Nafikiri hiyo tumuachie Tizedboy mwenyewe. Vinginevyo JF itaanza kuwa kama Microsoft, ikipita na kuuwa au kununua vikampuni vidogovidogo. Na hii siyo nzuri sana.
Mwanzo niliandika kwa kufikiri jamaa kaweka nyimbo chache tu. Ila nilipoingia MAINPAGE duu, nimekubali. Mod's yale maneno yangu ya kwanza ya kutengeneza sehemu ya Lyrics za Kiswahili, muachane nayo. Ila kibidi kuisaidia hiyo site basi itakuwa vizuri maana ni nzuri na jamaa kajitahidi ila ndiyo haijulikani.
Kuuliza inasaidia sana aisee....unawasaidia hata wale wasiojua waulize nini.Sikonge umeijuaje hii site...i had no clue aisee ipo very alright.thank you aisee.Kumbe saa nyingine ina make sense kuuliza eeeh.
Kelly,
Samahani hiyo anwani niliyokupa nimeanzia ndani. Ukianzia main page ndiyo unaona nyimbo zote na Watz walijitahidi kwani wameandika wengi sana.
Angalia huo ukurasa kwa kuanzia hapa:-
Mziki kutoka Tanzania