Lyrics za nyimbo za kiswahili

Binti Maringo

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
2,804
87
hivi wapi nitapata lyrics za nyimbo za kiswahili kama Siwema,Kifo by Dr Remmy Ongala,Jojina na zile nyimbo za sikinde pleaseeeee!.

xoxo
Kelly01
 
Kelly,
Mwadila. Sijui umefikia wapi na Kisukuma.
Haya, hebu angalia huu ukurasa sijui kama utakusaidia sana. Ila kuna nyimbo nyingi ingawa nyingine hazijamaliziwa. Kazi kwako.

http://home.arcor.de/tizedboy/baki_t.htm

Thank you sikonge let me take a look at the site...

lol!...mwadila mayo ulimola!....nipo bado najifunza taratibu aisee. nipe anohter 2 weeks nitakuwa najua sentensi kabisa...maana cupcake anajitahidi sana kunipa darasa kanitafutia hadi sukuma swahili dictionary.
 
Kwani wewe unayo ipi hommie?...

Hapa sikinde ndio kwao, ila mcheki GQ ana mizigo ya nguvu kuanzia albamu ya sungi mpaka hukooo

Kuna vitu kama Duniani kuna mambo, sungi, hiba, mv mapenzi,hapendeki, penzi la fukara, mzimu, uzuri wa mtu etc
 
Hapa sikinde ndio kwao, ila mcheki GQ ana mizigo ya nguvu kuanzia albamu ya sungi mpaka hukooo

YE miye album za old skool za kibongo ninazo kibao tuu ....ila nataka lyrics za hizo nyimbo.....
 
Mod's
Mnaonaje mkiweka kisehemu ambacho watu watakuwa wanaandika hizo Lyrics za nyimbo za kiswahili? Watu wanaozikumbuka wawe wanaandika na kuziweka. Wengine wao kama mie hapa huwa nina tatizo la kujua kinaimbwa nini. Hii iwe kwa lugha yoyote ile. Kuna wakati naelewa kivyangu. Nafikiri hizo nyimbo za hiyo site tungelizichukua na kuzimalizia zote na kuongeza nyingne.... Ntajitahidi na mie walau niweke maneno ya nyimbo mbili.
 
nimekupata......
ukisikiliza maneno yana kupita nini?

lol!...ni kweli ndiyo maana nimeomba maana nimejaribu sana kusikiliza lakini maneno yananipita nikaingia google nikidhani nitapata nikaona olah ndiyo manaa nimekuja hapa kuomba labda kuna mtu atakuwa anajua zinapatikana wapi si unajua tena.....hahahahaha!...
 
Mod's
Mnaonaje mkiweka kisehemu ambacho watu watakuwa wanaandika hizo Lyrics za nyimbo za kiswahili? Watu wanaozikumbuka wawe wanaandika na kuziweka. Wengine wao kama mie hapa huwa nina tatizo la kujua kinaimbwa nini. Hii iwe kwa lugha yoyote ile. Kuna wakati naelewa kivyangu. Nafikiri hizo nyimbo za hiyo site tungelizichukua na kuzimalizia zote na kuongeza nyingne.... Ntajitahidi na mie walau niweke maneno ya nyimbo mbili.

Ni kweli unajua hata miye saa nyignine naongeza maneno ya kwangu mwenyewe nakuwa hata sielewi kinaimbwa nini...

Hiyo ni good point kama mods wataweza kufanya kitu kama hicho you know....well said Sikonge "gawisa".
 
Kelly,
Samahani hiyo anwani niliyokupa nimeanzia ndani. Ukianzia main page ndiyo unaona nyimbo zote na Watz walijitahidi kwani wameandika wengi sana.
Angalia huo ukurasa kwa kuanzia hapa:-

Mziki kutoka Tanzania
 
Hiki ni kipande kinachonifurahisha cha Hiba. verse ya mbele mbele

Hiiba imekuwaje mpenzi, mbona humebadilikaaaa

Hiba ooh Hiba, imakuwaje hiba
Hiba ooh Hiba, nieleze leo

Badiliko la pendo lako lanitia wasiwasi
nini nimekuuzi, ooh Hiba
Ninapokuuliza, hutaki kusema nami hiba
ninapokuuliza wewe unanuna nuna
Ninapokuuliza hunisikii hata kidogo Hiba
Ninapokuuliza, wewe unanuna nuna

Unanisikitisha sana, unapokataa kula nami hiba

Hayo ndio mambo, we acha tu...
 
Swadaktaaaaa................ this is what i am talking about YE!.....

Hibaaa umekuwaje mupendzi nilikuwa najua hapo tuu....
 
Kelly,
Samahani hiyo anwani niliyokupa nimeanzia ndani. Ukianzia main page ndiyo unaona nyimbo zote na Watz walijitahidi kwani wameandika wengi sana.
Angalia huo ukurasa kwa kuanzia hapa:-

Mziki kutoka Tanzania

Sikonge umeijuaje hii site...i had no clue aisee ipo very alright.thank you aisee.Kumbe saa nyingine ina make sense kuuliza eeeh.
 
Kelly wala sikumbuki nilianzia wapi kuijua. Ila nakumbuka kupata ujumbe tuwe tuanachangia kuweka maneno. Nafikiri kama sikosei ni miaka ya 90 wakati nikiwa member wa Tanzanet forum. Ila naona kwa sasa wana nyimbo nyingi sana. Huwa nikitaka kufika huko naandika wimbo wa Tx Moshi akiwa POLISI JAZZ wa "unalewa bila kipimo". Huu wimbo kwa kweli naupenda sana na hamna sehemu unaweza kusikiliza. Ukiandika kwenye google zinatokea kama site mbili, moja ni humu JF na ya pili ni hiyo.
Inabidi HONGERA zimfikiei Tizedboy na wote waliochangia. Kama ikiwezekana, basi JF waisaidie hii site na kuiwekea LINK moja kwa moja kutoka humu JF. Nafikiri hiyo tumuachie Tizedboy mwenyewe. Vinginevyo JF itaanza kuwa kama Microsoft, ikipita na kuuwa au kununua vikampuni vidogovidogo. Na hii siyo nzuri sana.
Mwanzo niliandika kwa kufikiri jamaa kaweka nyimbo chache tu. Ila nilipoingia MAINPAGE duu, nimekubali. Mod's yale maneno yangu ya kwanza ya kutengeneza sehemu ya Lyrics za Kiswahili, muachane nayo. Ila kibidi kuisaidia hiyo site basi itakuwa vizuri maana ni nzuri na jamaa kajitahidi ila ndiyo haijulikani.
 
Hivi dadangu kelly kazini unakwenda saa ngapi na unatoka saa ngapi ? Au vacation?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom