GE2025 Lyata: Uchaguzi umepoa, No reforms No election Imeeleweka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,780
Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora Felix Lyata amesema uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepoa kwa sababu ajenda ya 'No Reforms no Election imeeleweka kwa wananchi huku akisisitiza kwamba ili uchaguzi uweze kuitwa uchaguzi ni lazima kuwepo na washindani wenye nguvu ili wananchi waweze kuchagua aliye bora zaidi.

"Siuoni uchaguzi kwa maana kwamba unapozungumzia ili tuweze kuita uchaguzi lazima kuwe na ushindani wa watu mbalimbali wenye nguvu ili wananchi waweze kuchagua kati ya wale wanaoshindana, Uchaguzi huu wa mwaka huu hauna ushindani wa aina yeyote, hauna washindani wa aina yeyote ambao wanaweza wakatushawishi sisi tukaanini kwamba kuna uchaguzi, Ukiniambia mimi naona nini mbele mimi naona giza kwa sababu naona uchaguzi wa chama kimoja"

Felix amefafanua chaguzi mbalimbali zilizopita akisisitiza kwamba chaguzi zilianza kiharibika mwaka 2020.

View attachment 3480940

No reforms No election somo limeeleweka kwa viwango vya juu kwa watanzania hongera nyingi kwa uongozi wa chadema​

Viongozi wa dini wanakemea yanayotokea nnchini
Kupingana na viongozi wa dini ni laana
 
Maandamano ya 29 October ndiyo yatafunga kazi. Yatamtupa kimama out of play
 
Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora Felix Lyata amesema uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepoa kwa sababu ajenda ya 'No Reforms no Election imeeleweka kwa wananchi huku akisisitiza kwamba ili uchaguzi uweze kuitwa uchaguzi ni lazima kuwepo na washindani wenye nguvu ili wananchi waweze kuchagua aliye bora zaidi.

"Siuoni uchaguzi kwa maana kwamba unapozungumzia ili tuweze kuita uchaguzi lazima kuwe na ushindani wa watu mbalimbali wenye nguvu ili wananchi waweze kuchagua kati ya wale wanaoshindana, Uchaguzi huu wa mwaka huu hauna ushindani wa aina yeyote, hauna washindani wa aina yeyote ambao wanaweza wakatushawishi sisi tukaanini kwamba kuna uchaguzi, Ukiniambia mimi naona nini mbele mimi naona giza kwa sababu naona uchaguzi wa chama kimoja"

Felix amefafanua chaguzi mbalimbali zilizopita akisisitiza kwamba chaguzi zilianza kiharibika mwaka 2020.

View attachment 3480940
Kiukweli watz wameamua
 
chadema wanachokifanya ni kama kumzuia mama kujifungu ikiwa yuko kwenye uchungu huu ni unyama wa hali ya juu na watanzania sio wajinga kwa hilo.

hii inamaana wanataka kuliuwa taifa kwa ujumla octo 29 naweweza kufananinisha na wakati wa mama tanzania kujifungua na kutuletea tumaini jipya kwa mi tano tena
 
Hahahaa
 
Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora Felix Lyata amesema uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepoa kwa sababu ajenda ya 'No Reforms no Election imeeleweka kwa wananchi huku akisisitiza kwamba ili uchaguzi uweze kuitwa uchaguzi ni lazima kuwepo na washindani wenye nguvu ili wananchi waweze kuchagua aliye bora zaidi.

"Siuoni uchaguzi kwa maana kwamba unapozungumzia ili tuweze kuita uchaguzi lazima kuwe na ushindani wa watu mbalimbali wenye nguvu ili wananchi waweze kuchagua kati ya wale wanaoshindana, Uchaguzi huu wa mwaka huu hauna ushindani wa aina yeyote, hauna washindani wa aina yeyote ambao wanaweza wakatushawishi sisi tukaanini kwamba kuna uchaguzi, Ukiniambia mimi naona nini mbele mimi naona giza kwa sababu naona uchaguzi wa chama kimoja"

Felix amefafanua chaguzi mbalimbali zilizopita akisisitiza kwamba chaguzi zilianza kiharibika mwaka 2020.

View attachment 3480940
Nani wa kuchagua takataka ya zanzibar 😁😁😁😁
 
Huyu mama na yule Bosi wake tukiendelea kuwachekea, watatupeleka shimoni. Dalili zote ziko wazi. Hawajawahi kuwa wazalendo kwa nchi. Siku zote wenyewe wanaangalia tu maslahi binafsi, maslahi ya chama chao, familia zao, na jamaa zao.
 
Back
Top Bottom