Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,082
Mkuu Kingwele,
Hicho chama huwa sikitamki mara kwa mara. Na wala sina mahusiano nacho hata chembe. Si kwa sababu ya chuki binafsi bali utofauti katika mitizamo. Ukisema Omutwale ni mfuasi mwadilifu wa Lwakatare na watu fulani hapa JF utakuwa una hoja. Maskini ya Mungu, wala huyo Lwakatare hajawahi na wala hajanikatia kwenye kale ka "Opportunity Cost Tranfer Fee" alikopewa, bali ni ile "extreme affection" niliyowahi kujieleza kuwa nayo kwake mwanzoni kabisa mwa sakata hili. Na huu ni mfano hai kuwaonyesha WaTZ, umaarufu wa Lwakatare si wa chama bali wa kwake yeye kama Lwakatare.
Mkuu Kingwele, nikuandalie Rubisi au utatumia Mramba? Karibu Uhuru platform!
Mkulu, Niko safarini nakwenda Bukoba kwa ajili ya tukio la leo.
Tutakutana Uhuru platform.
Wengi wanashangaa kwa nini kuna shamra shamra za Chadema Bukoba. Lakini wajaribu kuulizia Tambwe alipokelewaje alipokwenda Sisi Maf...... Mi sijali wanasema nini lakini nimelipa nauli ili nikashuhudie nililotamani miaka mingi. Kwamba tunabaki na chama kimoja chenye nguvu cha upinzani Tz.
Kwa taarifa tu kwa wale wasioelewa, kumekuwa na uhusiano mzuri kati ya Lwakatare na Chadema hata alipokuwa bado kafu.
Miaka nenda miaka rudi, ni Chadema hawa hawa huwa wanakuja kumpigia kampeni wakati wa uchaguzi. Nimeshuhudia kwa macho yangu kwa miaka mingi sasa.
OOOOOOKKKKK!Kwa taarifa tu kwa wale wasioelewa, kumekuwa na uhusiano mzuri kati ya Lwakatare na Chadema hata alipokuwa bado kafu.
Miaka nenda miaka rudi, ni Chadema hawa hawa huwa wanakuja kumpigia kampeni wakati wa uchaguzi. Nimeshuhudia kwa macho yangu kwa miaka mingi sasa.
Mkulu, Niko safarini nakwenda Bukoba kwa ajili ya tukio la leo.
Tutakutana Uhuru platform.
Wengi wanashangaa kwa nini kuna shamra shamra za Chadema Bukoba. Lakini wajaribu kuulizia Tambwe alipokelewaje alipokwenda Sisi Maf...... Mi sijali wanasema nini lakini nimelipa nauli ili nikashuhudie nililotamani miaka mingi. Kwamba tunabaki na chama kimoja chenye nguvu cha upinzani Tz.
Kwa taarifa tu kwa wale wasioelewa, kumekuwa na uhusiano mzuri kati ya Lwakatare na Chadema hata alipokuwa bado kafu.
Miaka nenda miaka rudi, ni Chadema hawa hawa huwa wanakuja kumpigia kampeni wakati wa uchaguzi. Nimeshuhudia kwa macho yangu kwa miaka mingi sasa.
Tayari msafara wa kwenda katika uwanja wa uhuru platform ukiongozwa na Dr Slaa na Lwakatare mwenye umeshapita mitaani Bukoba na hivi sasa wako uwanjani.
More updates comming.
Salaam kutoka Pemba ,wanasema huenda uchaguzi mkuu usifanyike huko ,na wao kujikata kivyao ,kabla sijatulia baada ya ziala ya mida mwingi mikoani ,huku nikifuatilia kwa undani zaidi mazoezi ya vyama pinzani .
Nimemegewa kuwa kuna 10% ambayo inahitajika ili ile kampouni ya gesi kule Mtwara iweze kuuza gesi nchi za nje ,niliongea na kijana mmoja ambae alinipa undani wa kuzorota kwa kampuni ile ,kuwa kuna wakubwa wanaikwamisha lakini kama ingeruhusiwa kuwekeza kama ilivyo tazamia ingeweza kusukumiza gesi Tz nzima na kueneza umeme wa nguvu hio kwa mikoa yote ,huku wao wakifaidika na uuzaji wa gesi hiyo.Kampuni hiyo ambayo makao yake makuu ni Canada tayari ilikwisha panga kuwalipa wazalendo kwa fedha ya kigeni ,kuwapatia vitendea kazi ambayo ni magari kila ofisa mzalendo angeweza kuwa na gari na mshahara mnono na kwa muda mfupi wangeweza kueneza umeme TZ nzima,Je ni nani aliezuia wazalendo wasilpwe dolars na kuwatilia mguu wasipewe magari.
Kijana amezidi kutonya kuwa ukiritimba wa 10% umeifanya kampuni hiyo kuanza kuzorota na kupunguza wafanyakazi wake ,kwa sasa inaendesha generetor 3 ,wanatumia moja ambayo inaeneza umeme mpaka Lindi ,ila wataalam hao wamedai kuwa wanendesha kwa hasara na kinyume cha makubaliano ,faida ambayo walitegemea ni kupewa kibali cha kuuza gesi.Kibali ambacho kuna madai ya kinyang'anyiro cha 10%.
Zaidi mzalendo huyo amedai kuwa gesi iliyopo haina utata wowote ule wa kueneza umeme Tz nzima (Huyo mzalendo ni mtaalamu haswa) na amedai kuwa baada ya kuekewa vizingiti kwa muwekezaji huyo generator zinazotumika zimeanza kusinzia na kutoa mingurumo mikubwa tofauti na mwanzo.
Mzalendo amesisitiza kuwa gesi ambayo ingetumika kueneza umeme Tz nzima si lolote si chochote ni sawa na kukata kucha,kuna visima kumi na nne vya gesi hai ,gesi kutoka machimboni kuzifikia generator ni safi na ndio inayoipatia Mtwara umeme na sehemu za karibu.Kuna Paka fisadi anataka kufungwa kengele.
MKUU MWIBA ASANTE kwa taarifa nzuri ya kinacho endelea huko mtwara,
Ila hapa kama umeposit wrong site, kwanini usiifungulie thread yake? ama ukaipeleka kule kwa ndugu zake DOWANS? hapa tupo tunajadili mpiganaji Lwakatare na maisha mapya anayo yaanza leo Ndani ya chama mbadala,
Yes, CHADEMA!
Mkuu Mwiba ,long time no see mkuu.Sawa ila huyo hakuondoka bure huko CUF kuna kitu nasikia amefanya ,sikupata uhakika ila nasikia alipora fedha katika uchaguzi wa Tarime au kuna jambo lilitokea kati ya Tarime au Mbeya. Na ndilo lililompiga na chini ndani ya CUF.
Sawa ila huyo hakuondoka bure huko CUF kuna kitu nasikia amefanya ,sikupata uhakika ila nasikia alipora fedha katika uchaguzi wa Tarime au kuna jambo lilitokea kati ya Tarime au Mbeya. Na ndilo lililompiga na chini ndani ya CUF.
Mkuu Kingwele,
Hicho chama huwa sikitamki mara kwa mara. Na wala sina mahusiano nacho hata chembe. Si kwa sababu ya chuki binafsi bali utofauti katika mitizamo. Ukisema Omutwale ni mfuasi mwadilifu wa Lwakatare na watu fulani hapa JF utakuwa una hoja. Maskini ya Mungu, wala huyo Lwakatare hajawahi na wala hajanikatia kwenye kale ka "Opportunity Cost Tranfer Fee" alikopewa, bali ni ile "extreme affection" niliyowahi kujieleza kuwa nayo kwake mwanzoni kabisa mwa sakata hili. Na huu ni mfano hai kuwaonyesha WaTZ, umaarufu wa Lwakatare si wa chama bali wa kwake yeye kama Lwakatare.
Mkuu Kingwele, nikuandalie Rubisi au utatumia Mramba? Karibu Uhuru platform!
Kanda2 said:naomba mnipongezi mimi nilijua toka february kuwa Lwekatare anakwenda Chadema alikuwa anatafuta sababu tu
BUT Prof, Lipumba alikanusha kwamba hakuna tuhuma zozote dhidi yake, bali ni kupokezana vijiti vya uongozi!
Ama unataka kusema prof, alisema asicho kimaanisha?
Bytheway, mpambanaji ndo kaisha tua ndani ya chama mbadala, sasa tusubili kushuhudia maisha yake mapya katika uwanja mpya. Binafsi namtakia heri na afike mbali.