Wakuu Wale Wote Tuliowahi Kusoma Lwandai High Schoo, Mlalo, Kushoto, Tanga Tukutane Hapa, Tukumbushane Walimu Kama Mwinuka, Kavishe, Mweta Mkubwa na Mdogo, Kuna Mwalimu alikuwa anatufundisha Chemistry anavuta Sana Sigara.... Karibuni Alumni Wa Lwandai Secondary School