Jipeni moyo,hivi hamna taarifa ya kwamba Lwakatare kuna maandishi aliyokutwa nayo?Wakuu hata kama Lwakatare atafunguliwa kesi uwezekano wa serikali kushinda ni mdogo sana, soma hapa chini. U
A Youtube picture/video by itself is not enough to win your case. If you cannot prove the context in which the photo or video was shot, this online evidence is legally hearsay, says Peter E. J. Wells, a partner at McMillan LLP in Toronto. You need to show what happened before or after the evidence was created, to establish that it means what you say it means.
Context is just one of the problems associated with online evidence, and it is not even the largest concern. Instead, the two issues that really challenge the use of online evidence are obtaining it, and then authenticating the evidence in court. Being digital in nature, online evidence is vulnerable to tampering be it altering a blog entry, changing an e-mail, or Photoshopping a picture or video, Clark says. This is why you must be able to document the evidences provenance to everyones satisfaction.
yale mliyoyapunguza ukubwa na kuyaweka humu JF kutoka kwenye flip chart mliyokuwa mkielekezana wakati mnatengeneza ile video yenu ya kichina, Mmeishakwama na kwa hili hamtakuwa na nguvu tena ya kunyanyuka.Jipeni moyo,hivi hamna taarifa ya kwamba Lwakatare kuna maandishi aliyokutwa nayo?
Wakuu hata kama Lwakatare
atafunguliwa kesi uwezekano wa serikali kushinda ni mdogo sana, soma
hapa chini.
A Youtube picture/video by itself is not enough to win your case. If
you cannot prove the context in which the photo or video was shot, this
online evidence is legally hearsay, says Peter E. J. Wells, a partner
at McMillan LLP in Toronto. You need to show what happened before or
after the evidence was created, to establish that it means what you say
it means.
Context is just one of the problems associated with online evidence, and
it is not even the largest concern. Instead, the two issues that really
challenge the use of online evidence are obtaining it, and then
authenticating the evidence in court. Being digital in nature, online
evidence is vulnerable to tampering be it altering a blog entry,
changing an e-mail, or Photoshopping a picture or video, Clark says.
This is why you must be able to document the evidences provenance to
everyones satisfaction.
Hivi huyu Jack zoka akistaafu ataenda ishi Mars?!
Jipeni moyo,hivi hamna taarifa ya kwamba Lwakatare kuna maandishi aliyokutwa nayo?
Asiposhinda kesi hii, mimi mwenyewe nipo tayari kujitolea buree kukata rufaa na kusimamia kesi mpaka mwisho buree; kesi kama hizi wanazozianzisha WANAKUWA WAMEAZIMA AKILI ZA WATOTO WADOGO kwa kuangalia KISIASA ZAIDI lakini wasijue kuwa zina madhara kidogo sana na muda mfupi kwa wanaemsingizia and/or chama wanachokisingizia LAKINI IN LONG RUN WANAMPA SIFA SANA WANAEMSINGIZIA AND/OR CHAMA WANACHOKISINGIZIA kwa muda mrefu na kujiongezea nguvu nyingi KISIASA...