Lwakatare amerudi na ana afya njema

Lwakatare amerudi na ana afya njema

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
527
Reaction score
596
1267870_174965626021995_804170215_o.jpg
wilfred muganyizi lwakatare akiwa na baba yake mzazi muda mfupi baada ya kurejea kutoka India kwa matibabu.

Wilfred Lwakatare, anawashukuru watanzinia wote waliomuombea na kurejea nyumbani baada ya kufanyiwa operation nchini India. Lwakatare kupitia ukurasa wake wa facebook anasema anaendelea vizuri na anamshukuru Mungu.
 
bora amerudi ili kesi iendelee mpaka tabia ya ugaidi ikomeshwe.
 
View attachment 109814
wilfred muganyizi lwakatare akiwa na baba yake mzazi muda mfupi baada ya kurejea kutoka india kwa matibabu.

Wilfred lwakatare, anawashukuru watanzinia wote waliomuombea na kurejea nyumbani baada ya kufanyiwa operation nchini india. Lwakatare kupitia ukurasa wake wa facebook anasema anaendelea vizuri na anamshukuru mungu.

pilato anamsubiri.
 
Sometime hata shetani akiombwa huwa anajibu maombi...........
Mtumaini shetani ila mwishoni hukumu ya mungu itakuangamiza GAIDI LWAX
 
Engaju,karibu kamanda wetu tuendeleze ukombozi mpaka pakuche ..PEOPLEEEEEEEEEEE'S POWER.
 
View attachment 109814
wilfred muganyizi lwakatare akiwa na baba yake mzazi muda mfupi baada ya kurejea kutoka India kwa matibabu.

Wilfred Lwakatare, anawashukuru watanzinia wote waliomuombea na kurejea nyumbani baada ya kufanyiwa operation nchini India. Lwakatare kupitia ukurasa wake wa facebook anasema anaendelea vizuri na anamshukuru Mungu.
Mwalimu Elia Lwakatare, dah kitambo sana mzee wetu pale ibwera, mpe moyo kamanda wetu aendeleze mapambano. Karibu sana kamanda.
 
watu wengine hovyoo kabisa sijui hata wanao wanaowaonaje.
badala ya kumtakia pole yanabwabwaja utadhani yako kitchen party.
kesi ya ugaidi ilishafutwa na mahakama au mna mahakama yenu na Mwigulu??
acheni uwizardi wenu jadilini ya maendeleo na sio upuuzi.

bora amerudi ili kesi iendelee mpaka tabia ya ugaidi ikomeshwe.
 
Back
Top Bottom