Lwakatare amefunguka...

Lwakatare amefunguka...

lovey62

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
132
Reaction score
112
PEOPLEEEEEES!
Ndugu Waheshimiwa wanachi,kwanza kabisa poleni na majukumu na changamoto mnazokutana nazo katika kuitafuta Tanzania tuitakayo.Na pia hongereni kwani nguvu zenu zinathaminiwa na ukombozi unakaribia.

Pili,kwa kipekee kabisa nikishukuru chama cha wazalendo CHADEMA kwa kunipigania na kunitolea misaada isiyohesabika.I WILL ALWAYS BE PROUD OF BEING IN CHADEMA.

Tatu,nichukue fursa hii kuutarifu umma kuwa makini na baadhi ya vyombo vya habari vinavyolenga kuupotosha kwa taarifa za uzushi na uwongo kwa sababu wanazozijua wao.

Katika mapokezi na mkutano mkubwa uliofanyika Bukoba mjini tarehe 19 Juni 2013, sikudiriki kumkashifu mtu yeyote,chama chochote na wala kusema kama vielezavyo baadhi ya vyombo vya habari.Kwa muda wa masaa mawili niliyopewa,nilitoa shukurani kwa wanabukoba na kusimulia maisha yangu ndani ya gereza kwa siku 92.Pamoja na hayo, tulipata muda wa kupeana mkono wa kheri.Mimi binafsi,sina adui bali ninao watu ambao hunipa changamoto za maisha kama ilivyo kwa binadamu mwingine yeyote.

Waheshimiwa watanzania, CHADEMA katika harakati hizi za kuleta mabadiliko ya kweli inakutana na changamoto nyingi ikiwemo hizi za kuzushiwa mambo yasiyo ya kweli. Ninawaomba wananchi muwe MAKINI SANA,ndivyo harakati za kuutafuta uhuru wa kweli zilivyo.

Mwisho kabisa, niwaombe msikate tamaa katika ujenzi wa taifa letu,tuendelee kutiana moyo na kushikamana. Nawatakia yaliyo mema.

Imeandaliwa na;
Wilfred Lwakatare
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama CHADEMA.
source; ukurasa wake wa facebook na blog yake ya wilfredlwakatare@blogspot.com
 
|Kaza buti kamanda na nawasihi kwa juhudi isifikie kipindi mkachoka na kuanza kuahidiwa ndoa za bandia kama za hawa wenzetu reberals....

Fahamuni hakuna ukombozi rahisi...
 
PEOPLEEEEEES!
Ndugu Waheshimiwa wanachi,kwanza kabisa poleni na majukumu na changamoto mnazokutana nazo katika kuitafuta Tanzania tuitakayo.Na pia hongereni kwani nguvu zenu zinathaminiwa na ukombozi unakaribia.

Pili,kwa kipekee kabisa nikishukuru chama cha wazalendo CHADEMA kwa kunipigania na kunitolea misaada isiyohesabika.I WILL ALWAYS BE PROUD OF BEING IN CHADEMA.

Tatu,nichukue fursa hii kuutarifu umma kuwa makini na baadhi ya vyombo vya habari vinavyolenga kuupotosha kwa taarifa za uzushi na uwongo kwa sababu wanazozijua wao.

Katika mapokezi na mkutano mkubwa uliofanyika Bukoba mjini tarehe 19 Juni 2013, sikudiriki kumkashifu mtu yeyote,chama chochote na wala kusema kama vielezavyo baadhi ya vyombo vya habari.Kwa muda wa masaa mawili niliyopewa,nilitoa shukurani kwa wanabukoba na kusimulia maisha yangu ndani ya gereza kwa siku 92.Pamoja na hayo, tulipata muda wa kupeana mkono wa kheri.Mimi binafsi,sina adui bali ninao watu ambao hunipa changamoto za maisha kama ilivyo kwa binadamu mwingine yeyote.

Waheshimiwa watanzania, CHADEMA katika harakati hizi za kuleta mabadiliko ya kweli inakutana na changamoto nyingi ikiwemo hizi za kuzushiwa mambo yasiyo ya kweli. Ninawaomba wananchi muwe MAKINI SANA,ndivyo harakati za kuutafuta uhuru wa kweli zilivyo.

Mwisho kabisa, niwaombe msikate tamaa katika ujenzi wa taifa letu,tuendelee kutiana moyo na kushikamana. Nawatakia yaliyo mema.

Imeandaliwa na;
Wilfred Lwakatare
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama CHADEMA.
source; ukurasa wake wa facebook na blog yake ya wilfredlwakatare@blogspot.com
cc: Nambalapala; Ritz and Lumumba Team,
 
Safi sana mzee wetu! Tunaichafua nchi yetu kwa kuzushiana kashfa na kuutangazia ulimwengu kuwa tuna magaidi hapa nchini.. Mataifa ya magharibi yatapata mahali pa kuingilia na kutuumiza.
 
Napenda sana sincerity ya viongozi wa CDM, I hope kuna siku Mungu atajibu.
 
Lwakatare, Mungu akuongoze ktk majaribu unayoyapitia pamoja na Makamanda wengine!!!

Poweeeeer!!
 
PEOPLEEEEEES!
Ndugu Waheshimiwa wanachi,kwanza kabisa poleni na majukumu na changamoto mnazokutana nazo katika kuitafuta Tanzania tuitakayo.Na pia hongereni kwani nguvu zenu zinathaminiwa na ukombozi unakaribia.

Pili,kwa kipekee kabisa nikishukuru chama cha wazalendo CHADEMA kwa kunipigania na kunitolea misaada isiyohesabika.I WILL ALWAYS BE PROUD OF BEING IN CHADEMA.

Tatu,nichukue fursa hii kuutarifu umma kuwa makini na baadhi ya vyombo vya habari vinavyolenga kuupotosha kwa taarifa za uzushi na uwongo kwa sababu wanazozijua wao.

Katika mapokezi na mkutano mkubwa uliofanyika Bukoba mjini tarehe 19 Juni 2013, sikudiriki kumkashifu mtu yeyote,chama chochote na wala kusema kama vielezavyo baadhi ya vyombo vya habari.Kwa muda wa masaa mawili niliyopewa,nilitoa shukurani kwa wanabukoba na kusimulia maisha yangu ndani ya gereza kwa siku 92.Pamoja na hayo, tulipata muda wa kupeana mkono wa kheri.Mimi binafsi,sina adui bali ninao watu ambao hunipa changamoto za maisha kama ilivyo kwa binadamu mwingine yeyote.

Waheshimiwa watanzania, CHADEMA katika harakati hizi za kuleta mabadiliko ya kweli inakutana na changamoto nyingi ikiwemo hizi za kuzushiwa mambo yasiyo ya kweli. Ninawaomba wananchi muwe MAKINI SANA,ndivyo harakati za kuutafuta uhuru wa kweli zilivyo.

Mwisho kabisa, niwaombe msikate tamaa katika ujenzi wa taifa letu,tuendelee kutiana moyo na kushikamana. Nawatakia yaliyo mema.

Imeandaliwa na;
Wilfred Lwakatare
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama CHADEMA.
source; ukurasa wake wa facebook na blog yake ya wilfredlwakatare@blogspot.com
Mwambie lwakatare atwambie alitaka kumfanya nini msack.
 
naamini watanzania wanatambua umuhimu wa CDM katika nchi yetu nzuri ya TANZANIA hivyo naamini hawatochoka kupigania ukombozi huu tunaoukaribia cku za usoni.....hongera kamanda lwakatare
 
mh. salute 100%, "HE WHO SOWS THE WIND MUST REAP THE WHIRLWIND", ccm is in ICU with an ortho lead, 2015 ni chadema tu!
 
PEOPLEEEEEES!
Ndugu Waheshimiwa wanachi,kwanza kabisa poleni na majukumu na changamoto mnazokutana nazo katika kuitafuta Tanzania tuitakayo.Na pia hongereni kwani nguvu zenu zinathaminiwa na ukombozi unakaribia.

Pili,kwa kipekee kabisa nikishukuru chama cha wazalendo CHADEMA kwa kunipigania na kunitolea misaada isiyohesabika.I WILL ALWAYS BE PROUD OF BEING IN CHADEMA.

Tatu,nichukue fursa hii kuutarifu umma kuwa makini na baadhi ya vyombo vya habari vinavyolenga kuupotosha kwa taarifa za uzushi na uwongo kwa sababu wanazozijua wao.

Katika mapokezi na mkutano mkubwa uliofanyika Bukoba mjini tarehe 19 Juni 2013, sikudiriki kumkashifu mtu yeyote,chama chochote na wala kusema kama vielezavyo baadhi ya vyombo vya habari.Kwa muda wa masaa mawili niliyopewa,nilitoa shukurani kwa wanabukoba na kusimulia maisha yangu ndani ya gereza kwa siku 92.Pamoja na hayo, tulipata muda wa kupeana mkono wa kheri.Mimi binafsi,sina adui bali ninao watu ambao hunipa changamoto za maisha kama ilivyo kwa binadamu mwingine yeyote.

Waheshimiwa watanzania, CHADEMA katika harakati hizi za kuleta mabadiliko ya kweli inakutana na changamoto nyingi ikiwemo hizi za kuzushiwa mambo yasiyo ya kweli. Ninawaomba wananchi muwe MAKINI SANA,ndivyo harakati za kuutafuta uhuru wa kweli zilivyo.

Mwisho kabisa, niwaombe msikate tamaa katika ujenzi wa taifa letu,tuendelee kutiana moyo na kushikamana. Nawatakia yaliyo mema.

Imeandaliwa na;
Wilfred Lwakatare
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama CHADEMA.
source; ukurasa wake wa facebook na blog yake ya wilfredlwakatare@blogspot.com
Mkuu habu muulize mh Lwakatare yale maagizo yake ya kuteka watu walengwa walikuwa nani?
Halafu sera ya nchi kutotawalika mnaitekelezaje?
 
Kuna watu walikuja na thread za Lwakatare anasema CDM kuna ubaguzi, siwaoni humu!
 
Back
Top Bottom