Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

Hapo hata mimi waliniacha hoi. Eti taifa la Israeli limeanzishwa juzi tu. Ina maana vitabu vya dini vinatudanganya? Mjadala uliegemea upande 1 (biased). Walishindwa ku-balance mjadala.
Naomba maelezo kutoka kwa yeyote anaejua:
1. Je serikali ya palestina ilikuwa inaongozwa na kiongozi(rais, mfalme,sultani,waziri mkuu n.k) aliyeitwa nani (jina) hapo mnamo mwaka 1948 inaposemekana ndipo taifa la Israel lilipoundwa?
2. Hiyo palestina ilishawahi kutawaliwa kabla? Mkoloni aliitwa nani? (i.e. Nchi iliyoitawala palestina) Na ilipata uhuru mwaka gani?
3. Kwa kuwa inaaminika kuwa israel haikuwepo ila iliivamia ardhi ya palestina, je hawa wayahudi walizuka tu hapa duniani? Je hawana ardhi yao ya asili? Kama ipo ardhi yao ya asili, je ni wapi?
4. Kwenye vitabu vya dini, Biblia na Qur'an vyote vinatambua uwepo wa wana wa israel, je, kwa mujibu wa vitabu hivi, hawa wana waisrael walikuwa wanaishi wapi wakati huo? Hilo eneo/ nchi waliyokuwa wanaishi kipindi hicho, lipo hadi leo hii au lilitoweka halipo tena? Naomba nijibiwe kwanza hayo maswali japo ninayo mengine ya ziada.
 

Acha kusoma neno kwa kukariri ww bila kuangalia mantik yake,Mungu hana taifa la wauaji,israel hii sio taifa la mungu,hawa ni wauaji kama wengine.
 


Wenye Akili timamu tu! wanaweza kujiuliza maswali hayo watu huwa wanakurupuka tu wakati ubongo wanazo wanashindwa kujiuliza maswali rahisi kama haya.

ngoja tusubili majibu.
 

wewe ni k.....
 
Mjadala huo wa chanel 10 umechefua sana upo very biased.
 
Ndo maana nikakuita pin brained!
Has it not occured to you as to the reason for the mahandaki?
Gaza has been under a blockade for years, sijui situation hiyo kama unsiekewa au wajisemea tu.
Blockade ni a war step of containment.
Kwamba Hamas wameweza hata kujinasua toka hiyo blockade is just a futile attempt extricating itself from undue domination of Israeli military rule.
Ni sawasawa nikuweke jela ambayo una uhuru wa kutembea huko Segerea, ukichimba handaki la kujiingizia chakula , TV, pasi na hata silaha, bado ukamlaumu huyo anayejitahidi kupambana na hali hiyo-kufanya hivyo ni ukichaa wa aina fulani.
 
Sasa wewe ndo unalikoroga unasema ati wangesema ni mauaji ya kimbari !!!!! Sasa kwa kidhungu ndii nini vile ?
 
Waungwana. mmeshawahi kujiuliza.Mbona Milocevic alipelekwa kushtakiwa THE HAGUE. Kenyatta and co. wa Kenya. Johnson wa Liberia. Ntaganda wa Congo etc
Sijawahi kusikia mtu akitishia kumpeleka Benyamin Netanyahu huko mahala kushtakiwa.
Mnajua ni kwa nini ???????
 
kwenye biblia kuna sehemu wanaitwa mayahudi. (sikumbuki wapi; nipo tayari kukosolewa)
 
my friend, sitajadli sana kuhusu israel na marekani kuvunja sheria za kimataifa, lakini usijadili kitu ambacho hauko expert. ni vizuri umesema wewe sio mwanasheria and specifically international laws. nakupongeza kwasababu kwa mtu asiye mwanasheria umejitahidi kujadili na hapo ndipo uwezo wako wa uelewa ndio umeishia.

nitakusaidia kitu kimoja. ukisika makosa ya jinai ya kimataifa yapo matatu tu yanayofanya kazi kwasasa, genocide (mauaji ya kimbari), crimes against humanity (makosa dhidi ya ubinadamu/wengine huita mauaji ya halaiki) na makosa ya kivita (war crimes). makosa haya hote yana ingredients zake zinazoyaunda. we do not have such a thing as you call it "mass massacre", that crime does not exist on this planet.

pili, tunaposema hamas wanatumia human shield tunao ushahidi, lakini wewe hauna ushahidi wowote kuonyesha kuwa israel wanawaamuru wapalestina kulala na mabinti zao mbele ya halaiki....labda ndio ulielewa maana ya halaiki....kisheria maana ya halaiki ni "systematic and widespread" while the offender knows that he is targeting civilian population. sio kwamba anakuwa ana target hamas hiyo haiinclude. sasa hamas wakirusha makombora wakiwa mbali israel inatakiwa kurusha kombora pale kombora la hamas lilipotoka kumbe hamas wameshikilia watoto na wanawake ili wakifa wapate sympathy ya jumuiya ya kimataifa kwamba israel is killing civilians? zile rockets zinazorushwa tel aviv aren't they targeting civilians....hata hivyo hapo israel hawatarget civilian population, they are targeting hamas, maafa hayo ni justifiable kisheria (bofya sanremo manual in the law of war kwenye google) itakupa mwanga kidogo tu. kuna vitabu vingi naweza kukutumia kama utakuwa interested.

israel kabla hawajapiga eneo wanapiga simu, wanadondosha liflets kuwaambia raia waondoke eneo hilo kwani watalipiga muda si mrefu...hamas wanawaua raia wanaokimbia wanataka wajitoe muhanga kwa kubaki palepale ili wakifa dunia ijue israel inaua raia. unajua kama israel ingekuwa inatarget raia ingeshamaliza wote kwa masaa tu? lakini kwa mwezi mzima wamefika 2000 kwasababu walikuwa too selective na vita vya katikati ya jiji ni vigumu sana imagine vita inapiganiwa pale kariakooo mtaa wa kongo, walitegemewa watu wengi sana wafe lakini wamejitahidi kuminimize collateral damage.


 
Last edited by a moderator:
my friend, gaza has been under a blockade for 8 years now, lakini hiyo ni kwasababu hamas na wapalestina wengine wakiwa supported by iran wametangaza kuwa lengo lao sio kuishi pamoja na waisrael bali ni kuwafuta waisrael wakafie huko mediterenean sea. na kwasababu hiyo wanaingiza makombora na kuyarusha israel, wanao uwezo hata kuingiza bom la nuclear (pakistan ndugu zao wana nuke, north kora wana nuke na wanaweza kuwauzia). ili israel ibaki salama iliamua kuwazunguka ili wajue kinachoingia na kinachotoka. kama wasingekuwa na nia ovu kama hiyo wasingekuwa under blockade. angalia wako kweney blockade lakini wameingiza silaha nyingi ajabu, kama wasingekuwa under blockade je? si wangeshaifuta israel kama walivyosema?

pili, hamas wamepewa hela karibia milion 500 dola (hizo ni shs bilioni mia nyingi tu kwa kibongo) walikuwa wanapewa kama msaada ili wajenge majumba yaliyobomoka na kusaidia raia etc, wao kwa miaka 5 wakatumia zile hela kuchimba mahandaki toka gaza hadi israel lengo likiwa sio kuingiza bidhaa bali kutumia mahandaki hayo kuteka na kuua waisrael. ndicho walichokifanya kabla ya vita hii ya juzi, waliteka vijana watatu wakawaua wakawarudisha israel maiti chini kwa chini ndipo vita ilipoanzia wao ndio walikuwa wachokozi. lengo lao walijua kuwa kwasababu mahandaki yale yametokea kwenye nyumba zao (huwezi kuyaona nje) hadi israel basi hadi israel waje kuyagundua watakuwa wameshateketeza wayahudi wengi sana, ajabu yake, mahandaki yaliyojengwa kwa pesa nyingi za msaada kwa miaka 5 yalibomolewa kwa mwezi mmoja yote. wapo tu sasaivi wanaomba msaada tena. hamas ndio walianza uchokozi vita hii, na hata wakati wa vita dunia nzima imesuhudia hamas wahawaki ceasefire.
 
Has it not occured to you that you are discussing symptoms of the desease redher than the desease itself?
The core issue here is LAND, and displacement of the Palestinians from their land.

You will never expect the conflict to wither away, even by military means and other subduement of a determined people.
That is the reason why Hamas will not accept a cease fire, and thats understandable.

Unachukua ardhi yangu, nina protest, tunapigana unaua wake na watoto halafu tuna expect the best from a cease fire.
Thats wishful thinking-there is no peace in those circumstances.
 

maswali ya ajabu sana haya.
 
kwenye biblia kuna sehemu wanaitwa mayahudi. (sikumbuki wapi; nipo tayari kukosolewa)
mimi ninayeandika ni msomi wa biblia. hakuna eneo hata moja limeandikwa 'mayahudi", ila kwenye kuran lipo ndivyo wanavyoitwa. na unatakiwa kujua kuwa kwenye Biblia Mungu aliahidi kutokuwaacha wayahudi milele na atakayewalaani Mungu atawalaani pia.
 

kwani genocide maana yake ni ipi?
 
ile ardhi ni ya wayahudi tangu kipindi cha ibrahim, isaka, Yakobo (israel), Daudi hadi kesho. Mungu aliwapa ile ardhi na biblia inao ushahidi huo ambao ni tangible hadi kwenye ulimwengu wa leo hii. Israel is prepared to live with the enemy for life my friend, hawatishiwi nyau. kama una hitaji, nitakupatia hapa historia ya ile ardhi tangu kipindi kabla ya Yesu (ila itabidi nitype na kuiweka pdf kwasababu nitajaza ukurasa).

umeshafika israel? umeshafika westbank? ukiwa kule westbank kuna eneo linaitwa Bethlehen ya Uyahudi (pale ndipo Yesu alipozaliwa) ni eneo ambalo wanakalia wapalestina kwa sasa. kuna eneo pia linaitwa Hebron ambapo Daudi mfalme wa israel alijenga ule mji. ukija Jerusalem, kuta za hekalu alilojenga suleiman mfalme wa israel zipo mpaka leo na ndipo mahali patakatifu kuliko pote kwa wayahudi hii ikijumuisha Temple Mount (ule msikiti uliojengwa na waislam baada ya kuvunja helalu la wayahudi ambalo Yesu alitabiri kuwa litavunjwa vipandevipande). kwa kifupi ile ardhi ilikuwa ni ya waisrael hadi kule juu milima ya golan, hadi jordan isipokuwa waisrael walimwasi Mungu Mungu akawapa adhabu wakatawanyika duniani lakini aliahidi kwenye Biblia kuwa kuna siku atakuja kuwarejesha tena kwenye ardhi yao aliyokuwa amewapa.

Mungu ndiye aliyeumba hii dunia na ndiye mmiliki wa ardhi kuliko hata sisi. hivyo yeye kama mmiliki namba moja akiamua kumpa mtu ardhi hakuna wa kupinga au kutafuta human rights. Mungu alishawapa wayahudi ile ardhi hivyo hata kama kibinadamu tutaona sio sawa lakini Mungu alishawapa. upende usipende ndivyo ilivyo.
 
mimi ninayeandika ni msomi wa biblia. hakuna eneo hata moja limeandikwa 'mayahudi", ila kwenye kuran lipo ndivyo wanavyoitwa. na unatakiwa kujua kuwa kwenye Biblia Mungu aliahidi kutokuwaacha wayahudi milele na atakayewalaani Mungu atawalaani pia.
tatizo ndo liko hapa unataka tujadili hili suala kwa misingi ya bibilia ama quran.
 
kwani genocide maana yake ni ipi?
Genocide ni makosa dhidi ya kundi la watu, iwe kabila, taifa, rangi n.k kosa ambalo mtendaji anakuwa na nia/lengo la kuwafuta au kuwateketeza kabisa wale watu wasiwepo tena eneo lile. mfano wake rahisi ni pale wahutu walipotaka kuwateketeza watusi selectively ili wasiwepo rwanda wabaki wao tu. hii ni maana rahisi ya genocide. lakini tunaweza kwenda in deep kama utakuwa interested.

swali, israel inaua wapalestina ili wasiwepo tena pale au inasambaratisha hamas na vitendea kazi vyao? kama wangeamua kuwafuta watu wa gaza mbona wangerusha bom moja tu kile kitongoji chote asingebaki mtu kama lengo lao ni kuwateketeza watu wa gaza....umeelewa?
 

Mkuu, you have said it all, sina cha kuongeza.

Tiba
 
kwani israel lengo lake nini kama sio kuwafuta wapalestina.

Kwanza hawataki wawe na nchi yao,na pia hawataki wawe sehemu ya israel,pia wanaua watoto wadogo ili kuteketeza kizazi kijacho,pia wamewaweka kifungoni,hamna kutoka wala kuingia.etc.
We hapo huoni lengo lao ni genocide?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…