bategereza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 3,314
- 1,072
hawawaiti "wayahudi" wanawaita "mayahudi", yeye anaamini wayahudi marekani wamefika 2ml, (hajui kama wemefikia 10mil)....kama wanajadili kitu kizuri, kwanini wawaite mayahudi? yeye atafurai akiitwa "matanzania" au "mapalestina".....kwani lwaitama elimu yake ni ipi, najua yupo pale chuo na kuna miaka fulani tulikuwa tunapishana sana kwenye daladala, na ni mkorofi ajabu hata kwenye daladala anagombana, na juzi tu hapa aligombana na precision air hadi kawekwa ndani..anavuta bange?
ndugu, hapa tunaongelea makosa ya jinai ambayo wayahudi wangeshitakiwa nayo, ndo wao wakasema ni genocide. hatutafuti terminologies, na akija mtu toka nje ndio maana wanatudharau watz kuwa ni mambumbumbu kwasababu huwa hatujadili vitu halisia tunajadili kwa minajiri kama hiyo ya kwako. how can you put israel accountable now kama haujui kosa gani wamefanya, utaendaje kuwashitaki ICC au popote pale? ni kwa kujua aina ya makosa na kwa ufahamu wa lwaitama na yule mwenzie, they were expected kuongea kisomi kama wasomi.Mkuu whether ni mausji ya kimbari, holocaust, genocide au mauaji ya hakaiki, ukweli haupingiki kuwa mauaji yasiyo na sababu yamefanyika.
Ukiua mtu na kumtafutia terminology haibadilishi the fact kuwa ameua.
Hii vita kati ya Hamas. A Israel has unproportionate bearings.
mauaji ya halaiki ni crimes against humanity, wakati mwingine huitwa makosa dhidi ya ubinadamu. genocide kwa kiswahili ni "mauaji ya kimbari". hapo unatofautisha shambulio dhidi ya civilian population (crimes against humanity) na shambulio dhidi ya kundi fulani kwaajili ya kulifuta kabisa (genocide..angalia watusi na wahutu kama unajua kilichotokea). huo ni mfano wa haraka kwa mtu asiye professional kuelewa haraka. hata hivyo, kwenye shambulio dhidi ya raia a.k.a mauaji ya halaiki ambayo israel inasemekana kuyatenda gaza, yana justification kama eneo lililopigwa ni military target na hizo collateral damate kwa raia huwa ni za kawaida na zinategemewa kuwepo hata sheria za kivita zinatambua hilo. unless iwe ilionekana muuaji alifanya deliberately ndio itahesabika lakini kama ushahidi upo kuwa alijitahidi kuminimize collateral damate (vifo vya raia) basi hatashitakiwa. lakini sasa kwa gaza, hamas wanatumia human shield (kinyume na sheria za kivita) na israel ime hit pale tu zilipotoka rockets unategemea utawapeleka israel mahakama gani hapo?kaka mauaji ya halaika ndiyo genocide yenyewe ndugu yangu.
You are a pin brained overzelous defender of mass murderers.ndugu, hapa tunaongelea makosa ya jinai ambayo wayahudi wangeshitakiwa nayo, ndo wao wakasema ni genocide. hatutafuti terminologies, na akija mtu toka nje ndio maana wanatudharau watz kuwa ni mambumbumbu kwasababu huwa hatujadili vitu halisia tunajadili kwa minajiri kama hiyo ya kwako. how can you put israel accountable now kama haujui kosa gani wamefanya, utaendaje kuwashitaki ICC au popote pale? ni kwa kujua aina ya makosa na kwa ufahamu wa lwaitama na yule mwenzie, they were expected kuongea kisomi kama wasomi.
halafu,kama israel wangekuwa na nia ya kuua wapalestina, wangeshaua hata kwa masaaa mawili tu gaza yote ingeshapukutika. gaza ina watu milioni moja na nusu, waliokufa ni alfu mbili kwa mwezi mzima na waliowengi ni kwamba hamas ilikuwa inawatumia kama kinga na wakati huohuo wakirusha rocket israel na kupitia mahandaki kwenda kushambulia israel, ulitaka israel wanyamaze tu? ungekuwa wewe mtu anarusha risasi nyumbani kwako halafu ukitaka kumrudishia anashika kitoto kidogo kama kinga na wakati akiwa ameshika kitoto anaendela kukurushia risasi ungefanyeje....ULIONA yale mahandaki yaliyochimbwa toka gaza hadi israel?....kwa sababu kama hizo ndio maana hata israel haiwezi kushitakiwa kimataifa kwasababu kuna justification kama hizo na dunia nzima wameona. mara ngapi israel wametaka ceasefire lakiini hamas wamekataa? nani mgomvi na kwanini mnapendelea kualumu israel peke yake bila hamas? hamas ni babu zenu?
anasema "mayahudi aka mazayuni" waliondoka middle east miaka 3000 iliyopita....that means hata kabla yesu hajazaliwa, does it mean wakati Yesu anazaliwa pale bethlehemu wayahudi hawakuwepo pale? hawajui kitu.
anasema "mayahudi aka
mazayuni" waliondoka middle east miaka 3000 iliyopita....that means
hata kabla yesu hajazaliwa, does it mean wakati Yesu anazaliwa pale
bethlehemu wayahudi hawakuwepo pale? hawajui kitu.
kabla ya kuniuliza hilo swali, jiulize wewe kwanza Temple Mount (ule msikiti unaogombaniwa), ulijengwa lini na kabla ya kujengwa ule msikiti pale kilikuwepo nini. pia jiulize kuta za hekalu ambazo zimebaki hadi leo baada ya kubomolewa hekalu la suleiman ili umengwe msikiti kwanini hadi leo zipo na waliojenga sinagogi lile walikuwa watu gani. Israel had its rebirth mwaka 1948, lakini kabla ya hapo wayahudi wengi walikuwa wanakaa pale pamoja na kwamba wengi walishatawanyika karne nyingi wakaenda mataifa mengine. ni haki yao kurudi pale. my friend, pale Bethlehem mnapopaita ndio makao makuu ya palestina ndio alizaliwa Yesu myahudi pale, kule Hebron ambako ni westbank ndio mji alijenga Daudi mfalme wa israel pale, kuna makaburi ya absalom pia kule aliyekuwa mtoto wa Daudi mfalme a israel, yapo hadi leo. you have enourmous evidence kuwa ile ardhi ni ya wayahudi.Kwahi hiyo inayoitwa Israel unajua ilianzishwa mwaka gani? Na walioanzisha hilo taifa linaloitwa Israel walitokea wapi?
Unasema wao hawajui historia, jee wewe unaijua?
ulitaka mimi nitetee hamas? hamas ndio mass murderers terrorist kabisa. umeona mahandaki yaliyochimbwa kuelekea israel, umeona rocket zaidi ya alfu mbili zilizorushwa, ulitegemea israel inyamaze tu?halafu haujaona hamas wakiweka raia kama shield?You are a pin brained overzelous defender of mass murderers.
Soma kwanza the history ya conflict in question, na conditions ambazo palestinians wamekuwa subjected to kabla ua kufanya sweeping statements.
hawawaiti "wayahudi" wanawaita "mayahudi", yeye anaamini wayahudi marekani wamefika 2ml, (hajui kama wemefikia 10mil)....kama wanajadili kitu kizuri, kwanini wawaite mayahudi? yeye atafurai akiitwa "matanzania" au "mapalestina".....kwani lwaitama elimu yake ni ipi, najua yupo pale chuo na kuna miaka fulani tulikuwa tunapishana sana kwenye daladala, na ni mkorofi ajabu hata kwenye daladala anagombana, na juzi tu hapa aligombana na precision air hadi kawekwa ndani..anavuta bange?
Mosi kwenye sheria za kimataifa, Israel na Marekani ni moja ya mataifa ya ovyo kabisa kwenye kuzingatia. Waisrael wameterget wapalestina. Who can justify that Hamas are using human shield and Israel are not? Unaongelea vita vya kizamani mkuu vya Africa kama congo na waasi. Naomba uongelee modern war. Urban war mkuu wangu. Secondly crime against humanity is more accomodating than mass massacre so to speak. Makosa dhidi ya utu ndoo crime against humanity. When you systematically treat human being like animals that is crime against humanity. e.g. unawachukua wanaume unawaamuru walale na mabinti zao mbele ya halaiki. Kwamba wanachofanya wa Israel amounts to genocide, we can discuss that because my simple understanding of law we will be arguing on single legal terminology "threshold"mauaji ya halaiki ni crimes against humanity, wakati mwingine huitwa makosa dhidi ya ubinadamu. genocide kwa kiswahili ni "mauaji ya kimbari". hapo unatofautisha shambulio dhidi ya civilian population (crimes against humanity) na shambulio dhidi ya kundi fulani kwaajili ya kulifuta kabisa (genocide..angalia watusi na wahutu kama unajua kilichotokea). huo ni mfano wa haraka kwa mtu asiye professional kuelewa haraka. hata hivyo, kwenye shambulio dhidi ya raia a.k.a mauaji ya halaiki ambayo israel inasemekana kuyatenda gaza, yana justification kama eneo lililopigwa ni military target na hizo collateral damate kwa raia huwa ni za kawaida na zinategemewa kuwepo hata sheria za kivita zinatambua hilo. unless iwe ilionekana muuaji alifanya deliberately ndio itahesabika lakini kama ushahidi upo kuwa alijitahidi kuminimize collateral damate (vifo vya raia) basi hatashitakiwa. lakini sasa kwa gaza, hamas wanatumia human shield (kinyume na sheria za kivita) na israel ime hit pale tu zilipotoka rockets unategemea utawapeleka israel mahakama gani hapo?
Kweli tupuWayahudi wamelaaniwa! Miss You Hitler...
View attachment 177822
Sent from my iPad Air using JamiiForums
hajui kabisa historia ya palestina huyo mwenye shati la draft. kamwaiya ndio kabisaa, sijui amesoma hadi langapi?
Hapo hata mimi waliniacha hoi. Eti taifa la Israeli limeanzishwa juzi tu. Ina maana vitabu vya dini vinatudanganya? Mjadala uliegemea upande 1 (biased). Walishindwa ku-balance mjadala.