AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
yaani kimeniboa sana. Naona hawana data za kihistoria kuhusu Israel. Sijui wanajadili jini maana wote wanasupport palestines.hakuna hoja mbadala.islams wanal3lewa as kids. Hawaambiwi ukweliKuna Dr. Lwaitama na doctor mwingine fulani hivi jina limenitoka pamoja na Makwaiya wa kuhenga channel ten, wanajadili hapa kuwa Israel inatenda makosa ya "mauaji ya kimbari", huyu ni doctor (phd holder) na huyo mwenzie, nilichojiuliza ni kwamba hivi hajasoma tu hata kwenye wikipedia maana halisi ya genocide?, halafu, hivi kipindi cha je? tutafika cha makwaiya mbona kina harufu sana ya udini fulani hivi siku zote, au ndio channel ten kazi zake?
sisemi wapalestina wanaouawa ni sahihi, ninachoangalia hapa ni kama kuna mtu katoka nje ya nchi anaangalia wasomi wa kitz wanaojadili suala hili halafu wanasema hiyo ni genocide, wakati hakuna hata elements za genocide, labda angesema hizo ni war crimes au mauaji ya halaiki/dhidi ya ubinadamu....sijaelewa wameweka kipindi ili kuponda israel au kuongea hoja.
huyo Dr mwingine ndio anasema waisrael/wayahudi ni wazungu tu walitoka ulaya na nchi nyingine, na anawaita mayahudi sio wayahudi....very hopelss kama wametoka leo kijijini vile.
hawawaiti "wayahudi" wanawaita "mayahudi", yeye anaamini wayahudi marekani wamefika 2ml, (hajui kama wemefikia 10mil)....kama wanajadili kitu kizuri, kwanini wawaite mayahudi? yeye atafurai akiitwa "matanzania" au "mapalestina".....kwani lwaitama elimu yake ni ipi, najua yupo pale chuo na kuna miaka fulani tulikuwa tunapishana sana kwenye daladala, na ni mkorofi ajabu hata kwenye daladala anagombana, na juzi tu hapa aligombana na precision air hadi kawekwa ndani..anavuta bange?azusa
mwanazuoni huyo
anasema "mayahudi aka mazayuni" waliondoka middle east miaka 3000 iliyopita....that means hata kabla yesu hajazaliwa, does it mean wakati Yesu anazaliwa pale bethlehemu wayahudi hawakuwepo pale? hawajui kitu.
Mkuu whether ni mauaji ya kimbari, holocaust, genocide au mauaji ya halaiki, ukweli haupingiki kuwa mauaji yasiyo na sababu yamefanyika.Kuna Dr. Lwaitama na doctor mwingine fulani hivi jina limenitoka pamoja na Makwaiya wa kuhenga channel ten, wanajadili hapa kuwa Israel inatenda makosa ya "mauaji ya kimbari", huyu ni doctor (phd holder) na huyo mwenzie, nilichojiuliza ni kwamba hivi hajasoma tu hata kwenye wikipedia maana halisi ya genocide?, halafu, hivi kipindi cha je? tutafika cha makwaiya mbona kina harufu sana ya udini fulani hivi siku zote, au ndio channel ten kazi zake?