Luxurious amphibous car la gharama ya Ksh 26,641,569 huko Mombasa, Kenya

waltham

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,523
2,000
Nilipenda hili gari laingia kwa bahari indian ocean huko Mombasa na kugeuka boat!!!!!! Latoka majini na kuendelea kama gari la kawaida!!!Its for private use no more than 5NM from shore. The said vessel weighs about 1.5 tonnes and can cruise at 40 miles per hour on water; its wheels work as propellers when in water. estimated to cost $259,900 (Sh26,641,569).

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom