Lusinde: Lowassa ujana Kala CCM leo hana nguvu anashikiliwa atembee ndo anajiita Kamanda

Lusinde sijui aliupataje ubunge?

Maana huwa anaongea kama mtoto mdogo
....Waulize waliomchagua watakuambia hiyo siri, kama ambavyo tunasubiri kuona jinsi akili za wanakinondoni na Siha watakavyopanga tena misururu kuwachagua wale wale ambao kwa njaa ya matumbo yao mapana wameamua kuwatelekeza kwenye mataa...na sasa bila aibu na mitumbo yao mipana, wanawanyenga kuwa muwachague....
 
mnafiki tu huyo pimbi kwenye kampeni za uchaguz jimboni kwake 2015 alikuwa anawaambia wananchi wake kura za ubunge wampe yy za urais apewe lowasa
 
Lusinde ! Polepole na domo lako Hilo pana km karai la mavi .filikunjombe,aliropoka km ww unavyoropka leo, yukowapi? Ujana na nguvu ulizo nazo,leo co kibali cha kumdhihaki na kumdhalilisha huyo mzee.bado jua kubwa tutauona mwisho wako.ucone ccm kutumia Dola kunyang'anya haki za upinzani mkatawala kwa hila kua ndio uanaume ! Lah,iko cku mtautafuta hata huyo uwanawake,au ubinti na msiuone.endeleeni tu.
 
Nikipita Mtera namkubuka huyo Mbunge Picha za Magu bado zipo kwenye milango ya Nyumba za udongo, Lusinde ana akili ya karne moja nyuma sio kosa lake..
 
Lusinde ! Polepole na domo lako Hilo pana km karai la mavi .filikunjombe,aliropoka km ww unavyoropka leo, yukowapi? Ujana na nguvu ulizo nazo,leo co kibali cha kumdhihaki na kumdhalilisha huyo mzee.bado jua kubwa tutauona mwisho wako.ucone ccm kutumia Dola kunyang'anya haki za upinzani mkatawala kwa hila kua ndio uanaume ! Lah,iko cku mtautafuta hata huyo uwanawake,au ubinti na msiuone.endeleeni tu.
Mawazo mfu haya ya kutishiana vifo,kwa hiyo asiporopoka hatokufa? bora elimu ya lusinde kuliko hii yetu.
 
Mbunge machachari ameshasema hayo katika kampeni za kinondoni leo kwamba Lowassa asiwadanganye CHADEMA kwamba ni kamanda,

Kaula ujana wake CCM Kwa sasa Hana nguvu na anashikiliwa atembee ndo anajiita Kamanda kamanda,

Kawahasa vijana wa CHADEMA kuchanganua mambo

Ikumbukwe lusinde ni mtu makini

Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Mbunge kazi yake kupeleka mahitaji ya wananchi kwa nani?!. Je toka awe mbunge amepeleka shida zipi kwa ... Je ndio kazi ya mbunge kwa mjibu Wa katiba.
 
Siasa za bongo hazina cha sera wala tafiti wala staha wala heshima wala hekima....wavutabangi na waropokaji ndiyo ma hero wasiasa za bongo! Ndiyo maana watu mashuhuri niwale wa design ya kibajaji,msukuma,sugu nk.
 
Mbunge machachari ameshasema hayo katika kampeni za kinondoni leo kwamba Lowassa asiwadanganye CHADEMA kwamba ni kamanda,

Kaula ujana wake CCM Kwa sasa Hana nguvu na anashikiliwa atembee ndo anajiita Kamanda kamanda,

Kawahasa vijana wa CHADEMA kuchanganua mambo

Ikumbukwe lusinde ni mtu makini

Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Tusisahau kuwa uyo lusinde anatokea jimbo la wale watu waliowachoma watafiti moto wakihisi ni wanyonya damu. Naomba nisiweke picha mauaji nitawatonesha ndugu wa marehemu
 
Lusinde mropokaji nilishangaa jana wanasema heti Lusinde anakitu cha ziada nikajitafakari Labda mimi sijui kitu cha ziada huyu ndo anakitu cha ziada aliyeleta Uzi wa Lusinde kuhusu kitu cha ziada jitafakari
 
Mbunge machachari ameshasema hayo katika kampeni za kinondoni leo kwamba Lowassa asiwadanganye CHADEMA kwamba ni kamanda,

Kaula ujana wake CCM Kwa sasa Hana nguvu na anashikiliwa atembee ndo anajiita Kamanda kamanda,

Kawahasa vijana wa CHADEMA kuchanganua mambo

Ikumbukwe lusinde ni mtu makini

Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Baada ya samweli 6 sasa lusinde anafuata,nakuhakikishieni mwaka hauishi lusinde hatutakuwa nae tena
 
Huyo kibajaji ni mwendawazimu wa kiwango cha juu. Anachoongea kinaashiria kilichopo kichwani mwake. Yeyote mwenye akili anastahili kumpuuza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom