IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,184
- 7,820
....Waulize waliomchagua watakuambia hiyo siri, kama ambavyo tunasubiri kuona jinsi akili za wanakinondoni na Siha watakavyopanga tena misururu kuwachagua wale wale ambao kwa njaa ya matumbo yao mapana wameamua kuwatelekeza kwenye mataa...na sasa bila aibu na mitumbo yao mipana, wanawanyenga kuwa muwachague....Lusinde sijui aliupataje ubunge?
Maana huwa anaongea kama mtoto mdogo