Mkuu Camaraderie, kuwa kichaa sio lazima mpaka mtu aokote makopo!. Mhe. Lusinde ni miongoni mwa watu hawa ambao sio mpaka waokote makopo!.
Ni Lusinde huyu alietoa hoja bungeni kuwa milango ifungwe, watu watwangwane!.
Ila pia alichosema kuhusu Sioi ni kweli, atashindia kura za 'symphathy"!.