CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Nimemsikia ati anawaomba wana Arumeru Mashariki wamchague Sioyi ili afute machozi ya kufiwa na baba yake......vilevile ati apate ubunge ili apate pesa ya kuitunza familia.......hivi ni akili gani hizi?........wapiga kura wao hawajafiwa na baba zao?...nao iweje?
Ndio maana alifanya kampeini za kumuondoa baba yake Mzee John Malecela kwenye kura za maoni huko mtera, sasa huo mshahara wa baba yake anaipa familia husika? Hapo atafutwe huyu kijana aweze kujibu hii hoja ya Mshahara aliokuwa anapata mzee wetu maarufu Tingatinga unaenda wapi.
Mi wala sishangai haya maneno maana yanawezxa kwua ndio ukweli wenyewe. Nasubiri kuwashangaa wana Arumeru baada ya matokeo kutangazwaNimemsikia ati anawaomba wana Arumeru Mashariki wamchague Sioyi ili afute machozi ya kufiwa na baba yake......vilevile ati apate ubunge ili apate pesa ya kuitunza familia.......hivi ni akili gani hizi?........wapiga kura wao hawajafiwa na baba zao?...nao iweje?
Nimemsikia ati anawaomba wana Arumeru Mashariki wamchague Sioyi ili afute machozi ya kufiwa na baba yake......vilevile ati apate ubunge ili apate pesa ya kuitunza familia.......hivi ni akili gani hizi?........wapiga kura wao hawajafiwa na baba zao?...nao iweje?
Mkuu Canaraderie, kuwa kichaa sio lazima mpaka mtu aokote makopo!. Mhe. Lusinde ni miongoni mwa watu hawa ambao sio mpaka waokote makopo!.Nimemsikia ati anawaomba wana Arumeru Mashariki wamchague Sioyi ili afute machozi ya kufiwa na baba yake......vilevile ati apate ubunge ili apate pesa ya kuitunza familia.......hivi ni akili gani hizi?........wapiga kura wao hawajafiwa na baba zao?...nao iweje?
Mkuu Canaraderie, kuwa kichaa sio lazima mpaka mtu aokote makopo!. Mhe. Lusinde ni miongoni mwa watu hawa ambao sio mpaka waokote makopo!.
Ni Lusinde huyu alietoa hoja bungeni kuwa milango ifungwe, watu watwangwane!.
Ila pia alichosema kuhusu Sioi ni kweli, atashindia kura za 'symphathy"!.
Halafu nashangaa hv Lusinde huyu na yule wa Cdm-Mbeya ni ndugu? Kwa nn asiombe ushauri kwa kaka yake?
ili iweje? akishajibu.
Kwahiyo unataka wanaume ndo waondoe Umasikini?Ndo wanaume wa tanzania hao? Kwa vichwa vya namna hii umaskini utaisha nchini kweli?
Hadi tumbo limeniuma