Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

Ningekuwa na mda ningemsikiliza lakini naona kuna mwingiliano hapa, mda ambao yeye anataka kuongea naye mwanangu amedai kuna hadithi anataka anihadithie wamejifunza shule, hivyo najaribu kuwashindanisha ni nani asikilizwe naona Lusinde hana nafasi kabisa.

tusi zuri sana kwa bwana lusinde,hata mimi ningesikiliza lakini natakiwa kumpeleka mbwa wangu kwa vet.
 
taratibu wadau tusitoee maneno makali ili tusije tukafanana nae.najua kila mtu ana hasira na uzuri matendo yake yanakipeleka chama kaburini.shetani ni mwema kamtuma ili nasi tumalize chama chake
 
Hakuna cha msamaha redioni.. Kama ni msamaha akawaombe wanarumeru kwa staili ileile aliyotumia ya mkutano wa hadhara. wanarumeru mashariki wakionesha dalili ya kusamehe basi na sisi tutafiki na kupima kama asamehewe.
 
Naona wamekaribisha mitusi tu humo studio hv kweli atazungumza cha maana ngoja tusubili tusikie mr mitusi .com atakacho sema
 
Ningekuwa na mda ningemsikiliza lakini naona kuna mwingiliano hapa, mda ambao yeye anataka kuongea naye mwanangu amedai kuna hadithi anataka anihadithie wamejifunza shule, hivyo najaribu kuwashindanisha ni nani asikilizwe naona Lusinde hana nafasi kabisa.

JF ni burudani tosha.
 
Hivi wakuu mmesoma T-daima makala ya 'jicho la kijiweni' limemjibu ipasavyo Lusenge Lusinde.
 
Clouds FM wame-indicate kuwa watakuwa na mahojiano na mbunge wa Mtera Ndg.Matusi, kwenye jahazi ,please tune in atutukane tena leo.
Huyo mwehu (Lusinde Mitusi) achelewe kutukana humo studio mana domo lake ni kama choo,
 
Huyo ni mbunge wa Chama Cha Makudadadadadadadadadadaakiiiiii! Ni warambe nisiwaranbeeeeeh?
 
katika matusi yote hakuna baya kama ile kutumia mimba kwa kina mama kama dhihaka....kwa maadili hata ya dini mimba ni baraka nilishangaa sana yeye akatumia kupata mimba kama aibu,dhihaka,na kuaminisha kuwa mimba mapacha ni dhihaka kubwa zaidi.. kina mama nao kwa masikitiko makubwa walikuwa wanashagilia sana
MASWALI.
jE SERIKALI YA CCM INAKUBALI NA KUIDHINISHA USHOGA MAGEREZANI MAANA ALISEMA BWANA AKE LEMA ANAMJUA?
JE CCM INAKUBALI KUWA KILE KIKUNDI WALICHOPELEKA ARUMERU[MWIGULU.MKAPA.EL.] NI GAYS COZ YEYE ALISEMA WAO NDO WAMEWAPA HIYO MIMBA?
 
Ningekuwa na mda ningemsikiliza lakini naona kuna mwingiliano hapa, mda ambao yeye anataka kuongea naye mwanangu amedai kuna hadithi anataka anihadithie wamejifunza shule, hivyo najaribu kuwashindanisha ni nani asikilizwe naona Lusinde hana nafasi kabisa.

Ha ha ha.. angalia Mkuu ucikute mwanao amehadithiwa Shule kuna kubwa jinga mmoja alitukana hadharani.. Akakuuliza iwapo watu wazima wanatukana hadharani kwa nini hawachapwi..?
 
Watanzania tunaamini aliyetukana si Lusinde bali ni CCM, ushahidi wa hili ni kwamba, binafsi sijasikia popote kiongozi yeyote wa CCM akikemea kitendo kilicho fanywa na mwenzao. Vinginevyo labda wenzangu mmesikia mnisaidie.
 
bado na mm sijasikia tamko lolote kutoka ndani ya chama
sijui kamati ya nidhamu haipo kwa ufupi atakuwa ametumwa kwani hiyo jeuri kaitoa wapi?

Back
Top Bottom