Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lokissa, Apr 4, 2012.

 1. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Keshaambiwa asitukane akiwa live.

  • Anadai alipanda jukwaani akiwa na jazba akashindwa kujizuia
  • Asema wapinzani waache kusema CCM wote ni mafisadi, ingekuwa hivyo wanaume wote wangekuwa ni mashoga
  • Anasema ameshiriki chaguzi 24 mpaka sasa, hii amefikia hatua hiyo sababu amechokozwa
  • Anasisitiza suala la heshima yake kushuka halimpi shida!

  Msikilize on Clouds FM: http://tunein.com/tuner/?StationId=139722&
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Thanx Comrade kwa taarifa hii muhimu ngoja nimsikilize huyu mwehu
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  yap tujue alikuwa annamaanisha nini wkt ule. stay tuned
   
 4. n

  ngurdoto Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kudadadekiiiii Lusinde
   
 5. M

  MAMC Senior Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Clouds FM wame-indicate kuwa watakuwa na mahojiano na mbunge wa Mtera Ndg.Matusi, kwenye jahazi ,please tune in atutukane tena leo.
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  labda ataapishwa kabla ya kuhojiwa asije akajisahahau
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  ****** ****** *******anaaibishwa kwa kutajwa yale matusi yake aliokuwa akitoa arumeru shame on him
   
 8. a

  abousalimu Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sitaki hata kumsikiliza mwendawazimu! Sijui anapata kiburi cha kijinga toka wapi?
   
 9. L

  Lsk Senior Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lusinde yupi,unamaanisha yule wa Kawe ambaye sasa ndo Mbunge wa Mtera?
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mwenyekiti wa chama
   
 11. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Ngoja tumsikilize kichaa
   
 12. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  kumbe ukitukana unakuwa celebrerity wabongo bhaana? Sisi tuna matatizo kuliko Lusinde
   
 13. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa na mda ningemsikiliza lakini naona kuna mwingiliano hapa, mda ambao yeye anataka kuongea naye mwanangu amedai kuna hadithi anataka anihadithie wamejifunza shule, hivyo najaribu kuwashindanisha ni nani asikilizwe naona Lusinde hana nafasi kabisa.
   
 14. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,706
  Likes Received: 17,754
  Trophy Points: 280
  Mwakilishi wa vichaa bungeni kuhojiwa clouds..hahhha
   
 15. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  naona aliomba coverage ili aombe msamaha who knows? tumsikize tujue kama ataendeleza taarabu au ustaarabu
   
 16. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,706
  Likes Received: 17,754
  Trophy Points: 280
  daaaa, mkuu msalie mtume
   
 17. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  huenda akatangaza kuachia jimbo kwani hastahili tena kuwa mbunge
   
 18. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Radio Uhuru B..
   
 19. L

  Lsk Senior Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...nipo karibu na jengo la redio,ikirudia mitusi yake tunapasua vioo vya gari akitoka. Tukiendekeza upumbavu wake tutaonekana wapumbavu pia. Akiomba msamaha kwa Watanzania,tutamsimamisha kumpongeza!!
   
 20. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aaagh sijui nichangie nini! Maana nikisikia jina hili hasira zinakuja!!!
   
Loading...