Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

hata salaam yake itakuwa matusi.

inasikitisha sana mtu mzima kama yeye kutoa maneno kama hayo kama kweli ni muhubiri basi dini imeingiliwa, lakini anavyoongea anakuwakam muhubiri wa kweli ila tatizo matusi yake
 
Lakini tusilaumu ameongea sera za ccm kila baada ya tusi alimalizia kwa kusema ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mi nawasikitikia waliompigia kura mpaka akashinda ubunge wako kama yeye au wao ndio wamemuona Lusinde ndio nafuu kuliko wao hiyo wilaya kama hamna hospitali ya vichaa inabidi ijengwe hospitali ya vichaa haraka serikali isifanye mdhaa na jambo hili.
 
Wakati yeye anaomba msamaha, Katibu Mkuu wa CCM anadai kujwa aliyasema matusi hayo kwa nia ya kujibu mapigo. Ama kweli kamba haisimami hata siku moja
 
Bado maoni yangu kwa CCM ni kujipima na miwanachama yao kama haya magugu maji.Sijuli Lusinde alikuwa mganga wa kienyeji then akaja mjini??? Na nikiangalia kwa mbalia anaweza kuwa mtoto wa nje wa Stv Wasira.. Duu
 
fisadi tu na yy lusinde angelikuwa anatetea mtandao wa mafisadi kuingia madalakani asilete za kuletata
 
Nadhani kuomba msamaha haitoshi nae avuliwe ubunge si alitukana? au ndo yale yaleeeeee (hadithi ya no one is above the law) wizi mtupu many of them are above the law. Nina hasira na hao wapiga kura wa mtera atakuwa aliwapa sijui chumvi ama sukari hadi wamchague kama ndo mwendo wenyewe huu( najiuliza maswali mengi ana mke, ana watoto? wazazi? marafiki? kasoma chuo gani? unajua katika biblia kuna watu walitaka kumfikia Mungu wakajenga minara mirefuuuu then Mungu akawachanganya lugha wakaanza kugeukana nadhani ndo kinawapata CCM badala ya kusema nini watatufanyia wananchi baba zima linatokwa matusi tuuu halafu na watanzania ambao baada ya kumsikiliza anawatimulia vumbi wanashangilia nadhani vichaa ni wengi maana wenye akili sidhani kama wangeweza kukaa na kusikiliza. The moment nilipofungua na kusikia anachosema nimeamua na kudhamiria 2015 lazima nipige kura ili kutoa hasira zangu haiwezekani tukawa tuna viongozi wa namna hii wasomi these days wapo kibao wa kushika nyadhifa hizo then baba Mkapa umejiaibisha sana hivi ukombozi ni kutoka kwa wakoloni tuuu? kusoma ni ukombozi, matibabu ni ukombozi, barabara ni ukombozi nani kawaroga jamani? WATANZANI JAMANI NAWAOMBA SANA SANAA FUNGUKENI AKILI NA MACHO UWII NATAMANI KULIA SIJUI KAMA HATA MNANIELEWA TUAMKE TUMELALA MNOOO. 2015 WOTE TUJIANDIKISHE NA KUPIGA KURA NA KUZILINDA PIA HADI KIELEWEKE
 
Umeliona hilo na wewe pia? oh malecela kazeeka ndo vijana wa ccm wa matusi mlowataka nyie wanamtera hivi hapo mtera kuna watu wa kabila gani na kiwango chao cha elimu na maisha kwa ujumla kikoje? yawezekana kweli huyu deadstone ndo anaunafuu sasa walobaki huko sitaki kujua. Watanzania kazi tunayo kubwa kwa maana ni kama ccm wamewaroga na kilo za sukari utaambiwa chama kimetulea, Kimewalea mko nyumba fupi fupi wenzenu wanakula maziwa na asali nyie mkiamka mnajiuliza hata chai mtapata wapi amkeni kama wana Arusha. KEKI YA TAIFA LAZIMA IKATWE SAWA KWA SAWA. NATAMANI NCHI NZIMA WANGEKUWA NA AKILI KAMA WATU WA ARUSHA JAMANI MWEEE NIMECHOKA NA HIZI TABIA ZA KUDANGANYIKA
 
Wakati yeye anaomba msamaha, Katibu Mkuu wa CCM anadai kujwa aliyasema matusi hayo kwa nia ya kujibu mapigo. Ama kweli kamba haisimami hata siku moja

Wameshachanganyikiwa hawana jipya kila mtu anaropoka tu jamani watanzania nawaomba 2015 tufanye mabadiliko makubwa Mungu atatutendea muujiza wataiba haviibiki watabaki kutoa matusi wao wenyewe tu. Baba mzima unatokwa matusi kama nini sijui bora hata wabeba mizigo kariakoo wana nafuu eti huyoo mtu ndo mtunga sheria kama ulitukanwa si ungeenda kushtaki nawe watukana sasa mnapotamba kuwa mmekomaa kisiasa yako wapi ni kama mmeanza jana tu na migamba yenu hata haijawatoka mtakiona 2015 hata muibe hamtafanikiwa Mungu yu pamoja nasi ataonyesha njia tu
 
Lakini tusilaumu ameongea sera za ccm kila baada ya tusi alimalizia kwa kusema ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeee

Nakubaliana na wewe alikuwa akimalizia na kudadekii ccm oyee so aliwakilisha chama ipasavyo na yule mzee alomtambulisha alikuja kwa mbwembwe na kusema kuwa huyu ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm na mbunge wa mtera so atakuwa alitumwa na mwenyekiti labda wa kamati kuu ndo mawazo ya chama chao. Hivi wanadhani bado wako enzi zileeee za kuhubiria watu wasio na upeo wa kuchambua mambo sio? tumewachoka kama hamjui na hizo kanga zenu na kilo za sukari mtakoma 2015
 
inasikitisha sana mtu mzima kama yeye kutoa maneno kama hayo kama kweli ni muhubiri basi dini imeingiliwa, lakini anavyoongea anakuwakam muhubiri wa kweli ila tatizo matusi yake

Kama yeye ni muhubiri basi tuko enzi ya sodoma na gomora
 
Back
Top Bottom