Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

Wamuulize kwanini alikimbia umande. Bado kijana anaweza kujiandikisha form one kufuta ujinga wake
 
anasema kuwa alipanda jukwaani na jazba akashindwa kujizuia!
anasema yeye si mbunge wa kwanza kutukana
ati hivyo vilikuwa ni vionjo maana baadhi ya watu wanapenda vionjo kama watu wa pwani
mwisho anaomba radhi kwa yaliyo tokea
 
Namckiliza anakwambia ngumi ya kurudishia inauma eti ye sio mbunge wa kwanza kutukana mf sugu
 
Anasema hata sugu alitukana,ye c wa kwanza kusema vile,lakin anajutia,anasema sio hadi atoe machoz ndo ajulikane anajutia
 
Huyu jamaa namashaka na kiwango chake cha ufahamu eti mbona sugu alitukana sana inakuwaje kosa moja likahalalisha kosa jingine kuwa si kosa?
 
Yuko studio,kaomba msamaha,kasema ngumi ya kurudishia inauma,kwani CHADEMA walimsema mgombea wetu sioi kuwa ni Shoga.
 
Anasema kuna raia wanapenda 'vionjo'usipotoa vi0njo hawakuelew,ametaja maeneo,pwan,zenj,
anaamin wapo wanaofurahia matus pale arumeru
 
Kwa upande wangu simuelewi mtu huyu,eti wetu wengi wetu tunapenda vionjo{matusi} kwani kuna watu wamefurahia..
 
mi napata shaka kwa kusema chadema ktk mikutano yao walimuita Sioi shoga mi hapo wanajamvi napata shaka.Embu atuthibitishie
 
Anasema alipandwa na jaziba kwani alikuwa anajibu mapigo. Anasingizia kuwa yeye si wa kwanza kutumia lugha kali lakini mambo mengi aliyoyasema si kweli. Anaomba radhi ya lazima baada ya kuulizwa kwa nini asiombe radhi na kusema kwani kuomba radhi mpaka mtu uliye.

Anasema anachukizwa na kauli ya kuwaita CCM kuwa ni mafisadi kuwa si kweli kuwa wanaccm wote ni mafisadi.
 
Back
Top Bottom