Town ----> Taun ----> Tauniunataka itaunisheje
HSH•••••>Home Sweet Home•••>kwaaatama kaya ukiangwa...
Tupia na zingine mkuu tumekumbuka home wengine
Ha ha ha umenikumbusha pia Marehemu Eddy Sheggy na wimbo wake Shakaza. Kama una clip yake tupia humu watu wajimwayemwaye mkuu.hata jina umebadilisha maana nakujua wewe kijijini kwetu sambaani unaitwa shakaza mjini unajiita Chakaza;