Lupita Nyong'o ameanza kuunyemelea usagaji

Hapo sasa ndio ataheshimika na kukubalika zaidi na wazungu.
 
Alitisha sana mule. Alitumia jina la Bianca kama sikosei.

Sasa hivi yumo tena kwenye Avengers:endgame ya mwaka huu!
Kwahiyo MBJ alikuwa anafekiwa mafeelings na msagaji?
Yule dada uzuri wote ule ni msagaji! Daah nimeumia

Daah Kristu aje upesi tu
 
Hapo Kenya tu wanaume wanaoa kwa ndoa za kiserikali na wana established and legalize LGBTQ community so usiwashangae

Hao ni nyang'au since then
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…