Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,667
- 26,119
Hapo sasa ndio ataheshimika na kukubalika zaidi na wazungu.Dada yetu ambaye ni role model wa mabinti wengi sana Africa ameanza kutoa boko!
Usiku wa juzi, Lupita ameonekana kushikana shikana kimahaba na msagaji maarufu wa Marekani, Jannele Monae huko kwenye event ya Met Gala.
Huyo Jannele ni msanii wa muziki na muigizaji wa filamu. Umaarufu wake unatokana na kuwahi kujitangaza kuwa ni msagaji na kuweka wazi mahusiano yake na Tessa Thompson (wadau wenzangu wa movies mtakuwa mnamjua huyu mrembo).
Inawezekana wakawa wanatoka kimapenzi au wameamua kutafuta kiki au labda Janelle anamrusha roho ex wake (Tessa) waliomwagana hivi karibuni... Sijui.. But haya mambo haya yaanzaga hivi hivi.
Kama ni kweli Lupita ameanza kuiga tamaduni za Magharibi, Wakenya mtaambia nini watu?