Lupela ya Ali Kiba kwenye MTVBASE kwa mara ya kwanza kesho

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Ni video ambayo Watanzania walianza kuiona kwa mara ya kwanza February 7 2016 kupitia TV na mitandaoni na sasa MTV BASEambacho ni kituo kingine kikubwa cha TV Afrika kimethibitisha video hiyo itazidi kuonekana nje ya mipaka ya Tanzania na kuzifikia nchi nyingine za Afrika kwenye mamilioni ya watazamaji wa MTV BASE
 
hongera zake , maana sikuhizi hadi video za kina msami baby , shilole, chege zinapigwa huko MTV base , nilishangaa kwanini za Alikiba hazipigwi
 
Back
Top Bottom